Ukiwa Kwa Mswati Hadi Raha

Jamani masai dada anauliza k mnato ikoje?
mwambieni aisee.
 
Mswati anawadhalilisha hawa mabinti anaowaoa kila mwaka
 
hivi mpaka leo bado anachagua???? anao wangapi saa hivi
 
Hivi vyakula vya kiasili ni vizuri sana, viini lishe vyote vinapatikana kwa wingi wake
 
....kwa staili hii inamaana hata hawa alionao sasa, anokuja nao waliwahi kudhalilishwa namna hii, na picha zao zipo mpaka sasa...?? what a shame act,,?
 
wakuu heshima kwenu,
naomba mwenye kuweza atuwekee picha za mfalme mswati akichagua mke wa 14....
asanteni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…