Ukiwa Kwa Mswati Hadi Raha

kitu namba 2 toka kulia sheeeeeeeeeedahhhhhhh
mshana jr NAPITA hamjambo! wahenga walisema kizuri kula na nduguyo
 
Last edited by a moderator:
kweli aisee,ndo maana unashangaa mrembo mkali ila anaachwa na jamaa anaenda kwa demu wa kawaida


Kuna father mmoja wa roman catholic alinieleza kitu hadi leo huwa nakumbuka; "THE VIRTUES ARE ALWAYS IN THE MIDDLE" kwamba vitu bora daima vipo kati kwa kati. Extremes zote huleta SHIDA. Chagua agenda yoyote mkuu hii kitu ina-apply.
 
Hawaoni kuwa ni udhalilishaji mpaka siku wakiona dada zao au wake zao wamewekwa vifua wazi ndo watajua,apandacho mtu ndicho atakachovuna.

Mkuu hapo huwa hamna mke wa mtu wote huwa ni mabikra!!!!

Source:http://www.globalpost.com/dispatch/...e-breasted-virgins-dance-king-swaziland-video
 

Kumbe wewe ni kipofu....kwa hiyo kuna mtu kakuadithia JF imewekwa thread inaonesha vifuu vya Mswati......Na wewe kipofu mara moja ukaandika post ya kulaani wote wakiongalia ehhh...???

Dahhh....Mtu anakwambia usile ni sumu angali yeye anakula....Unafiki mbaya sana...
 


Mimi nimemaliza kazi yangu kila atayemwangalia mwanamke kwa kumtamani amezini naye,kwamba ni unafiki mimi sijui wajui wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…