Hata kama ni Gari itategemea na roho ya mtu na uwezo wa mtoaji, wengine wana roho za kitajiri,akitoa ametoa ila kama roho yako ni zile zenye ka-mkunjo au mbonyeo lazima udai kwa nguvu zote.
Usiombwe upewe zawadi na mwanamke mkaachana!!! Atakuvizia kwenye sherehe au watu wengi ndo aichukue kwa kukuaibisha!!
Dawa ukiachana nae weka zawadi yake ndani!! Kama ni simu nunua ingine.
Akiitaka mwambie siitumii aje nyumbani akaichukue!! Hapo mtaelewanaAsipokuwa na muda nayo unaweza kuitumia tena au kuitoa zawadi na wewe!!
Kama ukiamua kumnunulia mwanamke chochote chenye thamani huhitaji kurudisha coz ni aibu, Me Binafsi nikimpa Zawadi mwanamke huwa sikikumbuki tena, coz ni part of love in those days.
Kosa unaloweza kufanya mwanaume ni kuachana Na mwanamke Kwa ugomvi kwani hujui atakayekufuatia atakuwa ni boss wako ajaye. Ukitoa Zawadi jua hiyo imetoka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.