Ukiwa katika mahusiano na baada ya mahusiano

Ukiwa katika mahusiano na baada ya mahusiano

Mimi hadi kesho nina deni la mtu, yaani alijumlisha hadi hela aliyonilipia daladala kisha akanitangaza kwa kila mtu anayenifahamu kuwa ananidai hela alizokuwa akinipa, ndugu zake, ndungu zangu, marafiki zangu wote wanajua mimi ni mdaiwa wa mtu niliyedumu nae kwa miaka kadhaa, hadi aibu kuelezea, nilitaka kumlipa ila baadae nikasema simpi akitaka aende polisi ndio katulia, ila hadi sasa akipita hapa napita kuleee ili kumwacha shetani apite, maana siku yakuja kukutana ana kwa ana lazima tupachimbe bila jembe.
 
Unaambiwa tenda wema uwende zako. Ukitoa toa bila kukumbuka.
 
kwahiyo na yeye akianza kukudai mautamu yake unafanyaje......

basi ukiwa unampa unamwambia kabisa ikitokea tunaachana basi urudishe vitu vyangu vyote......

Mautamu ivi kuna mmoja anatoa mwingine anapewa :what:
 
Back
Top Bottom