Kama Mtanzania mwenye
uzalendo na nchi yako na unapenda kuiona nchi hii inafika mahali hata
ukiwa nje nchi ukisema mimi ni Mtanzania unajisikia uko kifua mbele, Je
katika vitu hivi hapa chini ungemshahuri nini?
(a), Siasa za Africa Mashariki
(b), Mipaka ya Tanzania
(c), Uchumi wa Tanzania
(d), Siasa za Tanzania
(e), Uwekezaji na Mikataba kwa wawekezaji
(f), Elimu ya Tanzania
(g), Kilimo
(h), Ufugaji Tanzania
(I), Huduma za Afya nchini
(j), Ukusanyaji wa Kodi pamoja misamaha ya kodi
(k), Swala la Muungano wa Jamhuri ya Tanzania
Kwa haya machache kwa mtazamo wangu haya ndiyo yanaikwamisha hii nchi
katika kujiletea maendeleo ya wananchi wake.
Ukweli ni mengi ila ukipata wasaa wakuwa mshauri wa Rais wa Jamuhuri ya
Muhungano wa Tanzania utatoa ushahuri upi katika nyanja nilizozitaja
hapo juu.
Kama unalakuongezea unaruhusiwa.
Asante umeongea vitu vilivyopo na donda sugu katika tasnia ya Elimu kwani hapo pana hitaji uwajibikaji na panahita umadhubuti kwa Elimu ndo kitu cha msingi katika Taifa.Aache kabisa kuchezea elimu na kutumia kama mtaji wa kisiasa wamejenga marasa mengi bila ya nyumba ya mwalimu hata moja, kisa tu wapate takwimu kuwa serikali imejenga vyumba vya madara ,,,, wanawapeleka wanafunzi kidato cha kwanza wakiwa hawajui kusoma wala kuandika ili tu waje kusema tumeandikisha idadi kuwa ya wanafunzi kidato cha kwanza, wanaleta propaganda za BRN ili hali walimu wamevunjika moyo kwa kuto walipa madeni yao. Haya yote wanamfanyia mwanafunzi wa hali ya chini huku watoto wa mawazri wote wanasoma nje hii ni dhuluma mbaya sana na tuiangalie ili isiendelee baada ya 2015
Wana jamvi wasalaam'
kama ningekuwa m/kiti wa hiki chama cha mapinduzi ninge fanya haya:
-kama m/kiti ningepiga marufuku safari nyingi za raisi nje ya nchi ili kuepusha matumizi mabovu ya fedha za umma.
-ningepambana na ufisadi mkubwa ulio ndani ya chama na serikali kwa kumwajibisha yeyote yule bila kujali urafiki wetu hatukukutana barabarani au vichochoroni,na kila ningeshawishi chama kitunge sheria kali za kuwasulubu mafisadi wote wanaokutikana na hatia za ufisadi.
-uongozi wa watu kama mwigulu,nape nnauye,kinana na nisingeuruhusu wala kuupa nafasi maana hawa watu wanamanukato ya rushwa,mauaji,ujangili na kukosa staha katika siasa za watanganyika wa leo.
-mawaziri kama muhongo,lukuvi,mwigulu,chiza,hawa,kawambwa,wassira,nisinge wapa nafasi ya kuteuliwa.
-ninge kataa mfumo wa kurithishana na kupeana madaraka kama ilivyo kwa,makamba jr:ritz 1,v.kawawa,h.mwinyi,g.mgimwa.
-ninge hakikisha maisha bora kwa watanzania wanayapata kwa kutumia rasimalia za ndani.
"hakika ningekuwa mwenyekti wa c.c.m taifa"