KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,555
- 8,552
Kama Mtanzania mwenye uzalendo na nchi yako na unapenda kuiona nchi hii inafika mahali hata ukiwa nje nchi ukisema mimi ni Mtanzania unajisikia uko kifua mbele, Je katika vitu hivi hapa chini ungemshahuri nini?
(a), Siasa za Africa Mashariki
(b), Mipaka ya Tanzania
(c), Uchumi wa Tanzania
(d), Siasa za Tanzania
(e), Uwekezaji na Mikataba kwa wawekezaji
(f), Elimu ya Tanzania
(g), Kilimo
(h), Ufugaji Tanzania
(I), Huduma za Afya nchini
(j), Ukusanyaji wa Kodi pamoja misamaha ya kodi
(k), Swala la Muungano wa Jamhuri ya Tanzania
Kwa haya machache kwa mtazamo wangu haya ndiyo yanaikwamisha hii nchi katika kujiletea maendeleo ya wananchi wake.
Ukweli ni mengi ila ukipata wasaa wakuwa mshauri wa Rais wa Jamuhuri ya Muhungano wa Tanzania utatoa ushahuri upi katika nyanja nilizozitaja hapo juu.
Kama unalakuongezea unaruhusiwa.