Whatever the case, huwezi kuniambia hakuweza kumPM hata Robot kama ndio ugeni uusemao tena anavyodai ametishiwa!..
Hata kama hajui sheria zote za JF pia kuleta kitu kinaitwa private message kwenye public forum hakuna mantiki yoyote..
I'm not into poems kama imeku-inspire wewe sidhani kwangu itakuwa the same..Eniwei nisiendelee kubishana na wewe uliejua ku-google mwaka huu!..
Hii ni fundisho kwa wengine pia, kujichetua kwa akili za kijinga.
mie sijaona why mnamuatack huyo Nazjaz kama thread mnaiona ni utoto ushamba ujinga si muipotezee tu?
mwaya Naz changamka mabuzi ndio hayoooo yanajileta yenyewe!:tape:
Vipi haujaonana na waziri bado?hahahaha! Sungusungu????
Unajua sheria za Pm au umekurupuka kutetea upupu, Members hawakubaliani na kwenda kinyume na sheria na taratibu za PM!
Mmeanza kwa PM mmalizane kwa PM
kuleta hapa ni kuonesha uhondari wa kutongozwa.
Aonesha basi uhodari wa kukubali pia.
Pole Nazjaz, though this wasn't meant for the public,
But I just can't understand a small crowd of JF 'IT GROUP' who always are licenced to either tarnish or florish whoever they wish, and sadly if either of them in that group gives a low opinion, they will sugarcoat it to look nice 'oh why r u angry today babu...'
Guys please...let the lady be, she want to howl to the world as long as she hasn't broken any JF rules..nor has she offended anyone ...she has same thread and priviledge rights..it IRKS me to see people taken apart by same group in almost every single thread..give this lady a break fellas!! And if you don't like it, go to other threads and rant aLl u want!
Peace
Mhandisi wa mifumo na njia kuu za umeme..safarini Mpanda
hehehe hawa wanaosema huyu mgeni nazani wao ndio wageni, hebu waende kwenye profile la huyu mdada halaf waangalie sredi alizoanzisha b4. miongoni mwao ni
-midume inayoniPM
-wiki bila kutongozwa
-na hii ya leo waziri kamtongoza.
khaaaa!
yaani huyu ukifatilia sredi zake unapata formula hii : first name ni "nazjaz" middle name "PM" na surname "kutongozwa"
Vipi haujaonana na waziri bado?
Unavunja sheria ya JF pale unapocopy PM na kuipaste ukumbini na itaonyesha imetoka kwa nani.
Nazjaz hajavunja sheria, nadhani watu wamekurupuka tu kwa vile walikariri neno PM katika sheria za JF.
Dogo achana nae, nimegundua huyu sio wengi hapa sex zao atujui, atueleze kwanza imekuaje mpaka wantishana, kwa lipi?Kumbe wewe ni mrembo
Huoni kama ni bahati hiyo kutongozwa na waziri?
Mi naona unatafuta kaujiko flani umetongozwa PM alafu unaleta ishu iwe mjadala sebuleni si mngemalizana huko huko kimya kimya.
Sifa za kijinga hizi
Afadhali na wewe umeona mpendwa!
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.
Mmmmhhhh wewe haya bana............................
Kwahiyo Freema anataka kusema nyie ni adui wa Nazjaz kwa vile amesema anatakwa na waziri kazi kweli kweli,women you have got issues.Mmmmhhhh wewe haya bana............................
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
Ujinga mtupu umeona eeehhhhh
Kwahiyo Freema anataka kusema nyie ni adui wa Nazjaz kwa vile amesema anatakwa na waziri kazi kweli kweli,women you have got issues.