Mgumu04 JF-Expert Member Jul 15, 2011 1,934 1,043 Nov 21, 2012 #1 Wana jmvi mimi ni siku ya pili hii na download vga lakini sijafanikiwa naombeni msaada wenu
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,735 39,838 Nov 21, 2012 #2 mkuu vga ni hardware na sio software huwezi idownload au unamaanisha driver?
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,697 68,678 Nov 21, 2012 #3 chief-mkwawa said: mkuu vga ni hardware na sio software huwezi idownload au unamaanisha driver? Click to expand... Nadhani anamaanisha AVG anti virus ameenda kinyumenyume!
chief-mkwawa said: mkuu vga ni hardware na sio software huwezi idownload au unamaanisha driver? Click to expand... Nadhani anamaanisha AVG anti virus ameenda kinyumenyume!
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,697 68,678 Nov 21, 2012 #4 Kama Driver za VGA ebu soma ID ya cmp yako then ingiza kwenye gugo upate driver husika.
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,735 39,838 Nov 21, 2012 #5 King Kong III said: Nadhani anamaanisha AVG anti virus ameenda kinyumenyume! Click to expand... ngoja aje kurekebisha mkuu
King Kong III said: Nadhani anamaanisha AVG anti virus ameenda kinyumenyume! Click to expand... ngoja aje kurekebisha mkuu
MUREFU JF-Expert Member Oct 1, 2010 1,331 350 Nov 21, 2012 #6 mkuu hebu jalibu kwanza kufanya updates za driver za mashine yako ndio uendelee na kudown loading hiyo unayotaka sawa mkuu
mkuu hebu jalibu kwanza kufanya updates za driver za mashine yako ndio uendelee na kudown loading hiyo unayotaka sawa mkuu
Joeli JF-Expert Member Apr 25, 2011 4,941 3,402 Nov 21, 2012 #7 Mgumu04 said: Wana jmvi mimi ni siku ya pili hii na download vga lakini sijafanikiwa naombeni msaada wenu Click to expand... kama ni vga drivers jaribu ku update drivers zitakuja automatically, ikishindikana, jaribu ku search google hizo driver unazotaka, mf: "windows 7 hp c530 vga drivers download" ukishindwa taja unatumia kifaa gani utapewa download link hapahapa
Mgumu04 said: Wana jmvi mimi ni siku ya pili hii na download vga lakini sijafanikiwa naombeni msaada wenu Click to expand... kama ni vga drivers jaribu ku update drivers zitakuja automatically, ikishindikana, jaribu ku search google hizo driver unazotaka, mf: "windows 7 hp c530 vga drivers download" ukishindwa taja unatumia kifaa gani utapewa download link hapahapa
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,581 8,600 Nov 21, 2012 #8 chief-mkwawa said: mkuu vga ni hardware na sio software huwezi idownload au unamaanisha driver? Click to expand... Jamani mimi mbavu zangu pls nawaombeni mpunguze maana nimecheka hadi watu wananishangaa!!!
chief-mkwawa said: mkuu vga ni hardware na sio software huwezi idownload au unamaanisha driver? Click to expand... Jamani mimi mbavu zangu pls nawaombeni mpunguze maana nimecheka hadi watu wananishangaa!!!
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,581 8,600 Nov 21, 2012 #9 Mgumu04 said: Wana jmvi mimi ni siku ya pili hii na download vga lakini sijafanikiwa naombeni msaada wenu Click to expand... Mkuu huu uzi na heading hii!! [h=1]Topic: Ukiwa it member inakuhusu sana[/h]VGA Nini kwanza maana nimecheka hadi mbavu zinauma!!
Mgumu04 said: Wana jmvi mimi ni siku ya pili hii na download vga lakini sijafanikiwa naombeni msaada wenu Click to expand... Mkuu huu uzi na heading hii!! [h=1]Topic: Ukiwa it member inakuhusu sana[/h]VGA Nini kwanza maana nimecheka hadi mbavu zinauma!!