E Original
Member
- Jan 10, 2012
- 38
- 3
hivi niambie ukiwa home panaboa au panaudhi au panavutia au panachosha au pakoje. Kwetu sisi vyote vinatokea kwa mida tofauti tofauti.
vitu hivyo avitokei kukia na umeme lakini usipokuwepo umeme panaboa sana.
hivi niambie ukiwa home panaboa au panaudhi au panavutia au panachosha au pakoje. Kwetu sisi vyote vinatokea kwa mida tofauti tofauti.
Inategemea nyumba yako ina muonekano gani,
Kama ni safi ,inavutia ,mapambo yamekaa kimpangilio
Miundo mbinu ya home kama TV ,Radio, Laptop or Simu iliyo connected na mtandao
inayokufanya usikosekane JF na kwingineno
hewa ya kutosha ,pasafi ...Utatamani usiondoke ndani tusker or serengeti serengeti kwenye fridge
Ukiingia Room kama ndo kusafi kitandani kinavutia kujilaza ..
Hutaboreka hata kidogo,
ina be prefered na some of the people tu.