raphael andrew
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 825
- 950
Mi hata sielewi..
Ukiamua uuze biashara yako kihalali ikiwemo kulipa kodi na mengineyo unaishi kuumia lakini wale wenzio wanaokwepa kodi wanawin
Ukiamua kutafuta pesa kihalali inachukua muda mrefu kufanikiwa lakini gangsters, drug dealers, biashara za magendo wanafanikiwa ndani ya muda mfupi
Ukiamua kuishi kwa kiajira chako unachelewa, lakini wenzio wadangaji wanatusua huku wanakuacha nyuma
Walio rough wanafanikiwa mapema kuliko walio fair.
Bro kama huna hela ya kula, yakupeleka mtoto shule, ukiumwa una sua sua malipo ya Afya etc, bro ujafanikiwa...Kila mmoja anatafsiri ya mafanikio
on top of that. Nothing good comes from rushing.Nenda kwa mwendo wako, Mafanikio sio Mashindano kila mmoja atafanikiwa kwa muda wake.
ukitaka fanikiwa kuwa muumini WA shetani
OVA
Milion moja tangu 1980🙄Kwenye maisha fanya kile ambacho moyo wako unapata furaha huku ukimuamini mungu na kutofanya yote anayokataza,hayo ndio mafanikio ya kweli. Hata masogange,binti kiziwi,mpakanjia,etc walikua ma drug dealers wazuri sana.
Lakini Kuna watu tangu mwaka 1980 hawajawahi shika millions 1 Tsh ya pamoja,lakini wanafuraha tu wala hawaoni ugumu wowote wa haya maisha
Sent using Jamii Forums mobile app