Ukiwa 'fair' unachelewa, ukiwa 'rough' unawahi. Kwanini?

Ukiwa 'fair' unachelewa, ukiwa 'rough' unawahi. Kwanini?

Kwenye maisha fanya kile ambacho moyo wako unapata furaha huku ukimuamini mungu na kutofanya yote anayokataza,hayo ndio mafanikio ya kweli.............hata masogange,binti kiziwi,mpakanjia,etc walikua ma drug dealers wazuri sana.
Lakini Kuna watu tangu mwaka 1980 hawajawahi shika millions 1 Tsh ya pamoja,lakini wanafuraha tu wala hawaoni ugumu wowote wa haya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umewataja marehemu watupu?
 
Ni kweli japo sometime kunatia huzuni..
We anahangaika kila siku na bahasha yako wakati mwenzio kameza madawa fasta ana ghorofa na gari...hahaha
Wanangu kibao wamekufa kwa kupita njia mkato! Imenichukua miaka zaidi ya kumi kufikia sehemu tu ya walikokuwa wamefika by then!
Kutafuta kwa halali kuna raha sana!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mfano mdogo ni kwamba, kwa wafanya biashara... akiuza mzigo wa laki 5, anatoa kodi kama elfu 80, assume anauza mil 5 kwa siku, kodi itakuwa laki 8, akikwepa na kusave iyo hela kila siku kwa mwezi (laki 8*30) toa jibu ndo utajua kwa nini biashara zisizohalali zinafanikiwa sana.
MTOA MAADA YUKO SAHIHI SANA,
ingekua tunaowapa izo kodi wanafanyia mambo muhimu kusingekuwa na shida... ila kwa kuwapa posho za lak 3 watu dhaifu sitakuja fanya izo biashara halali hata siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mkuu..njia halali mda mwingine hasara tupu.
Hapo mill 24 hivohivo nimpe tra..hapana
mfano mdogo ni kwamba, kwa wafanya biashara... akiuza mzigo wa laki 5, anatoa kodi kama elfu 80, assume anauza mil 5 kwa siku, kodi itakuwa laki 8, akikwepa na kusave iyo hela kila siku kwa mwezi (laki 8*30) toa jibu ndo utajua kwa nini biashara zisizohalali zinafanikiwa sana.
MTOA MAADA YUKO SAHIHI SANA,
ingekua tunaowapa izo kodi wanafanyia mambo muhimu kusingekuwa na shida... ila kwa kuwapa posho za lak 3 watu dhaifu sitakuja fanya izo biashara halali hata siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli japo sometime kunatia huzuni..
We anahangaika kila siku na bahasha yako wakati mwenzio kameza madawa fasta ana ghorofa na gari...hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Una ghorofa na gari nzuri lakini huna amani na unadanja anytime !!! Bora Mimi Nina vijisenti navila kwa raha ! Japo navipata kwa shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suvival for fittest. Ukiwa mjinga mjinga unaachwa.

Kumbuka lengo ni kuwin life ila how u win ni juu yako. Kwa hiyo cheza rafu ukikamatwa imekula kwako, usipokamatwa basi ndo unakuwa ushaula ivoo.

Pia kumbuka we are living in a restricted time limit.
 
Ipo Njia ionekanayo kiwa nyembaba,na waendeo mi wachache...na ndiyo njia ya Uzima!
Akili ya kuambiwa...
 
Ni kweli usemavyo mdada, ila kiuhalisia mafanikio ya kutafuta kihalali huwa yakitengemaa hayaishi, ingawa unaweza pia ukafanya haramu ukaja kuihalalisha badae. Rejea historia ya Baclays brothers.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom