Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Vipi kuhusu wimpy na Zunny ice cream center?Kwa sasa Dom bata zimekuwa kibwena kutokana na serikali kuhamia huku.
Kuna platinum 4G
Kuna Royal village.
Kuna waswanu pub ,chimbo linalokuja kwa kasi hapa utamkuta baba mzazi Ushimen anatafuna kuku.
Kuna Chako ni chako ,hapa ni spesho kwa kuku watamu usije tu jing'ata kisogo..pia kuna nyapu za kutosha hapo.
Kuna kisasa Capetown complex lounge sheli
Hapa ni sehemu inayokuja kwa kasi sana ..majuzi kati alikuja bibie zuchu wa usafinj.
Kama unataka kucheza magoma basi usikose sehemu hizi zifuatazo.
Club 7 , hii kwa sasa imeboreshwa zaidi kila kitu .imekuwa bab kubwa.
Utamkuta DJ stevow akiwasha moto.
Pia kuna malaika annex ..hapo napo sio pa mchezo mchezo
Hapa huwa namsave kugonga ngoma mbili tatu one deck mwanangu wa hapo.
Yote yote hapa pestana lounge sio pa kukosa kabisa ..
Muziki upo wa viwango vya 5G
Hii ipo uzungunj karibu na kwangu image .
Kuna madj wakali
Kama vile dj k vee atatoa ladha za kibongo na Kongo
Dj full G atakupa ladha za kwaito/ amapiano na trap.
DJ chillah the baddest atakupa naija fravoul za moto.
Dodoma pamenogaa
Hata pale ni bab kubwa mkuu lakini sema sio pande zangu za kujidaiVipi kuhusu wimpy na Zunny ice cream center?
Napakubal Sana hapoUmeisahau GM Sport bar...Dodoma Inn.
Chako ni chako sasa hivi wamewadhibiti wale makahaba hawapo kama awaliKwa sasa Dom bata zimekuwa kibwena kutokana na serikali kuhamia huku.
Kuna platinum 4G
Kuna Royal village.
Kuna waswanu pub ,chimbo linalokuja kwa kasi hapa utamkuta baba mzazi Ushimen anatafuna kuku.
Kuna Chako ni chako ,hapa ni spesho kwa kuku watamu usije tu jing'ata kisogo..pia kuna nyapu za kutosha hapo.
Kuna kisasa Capetown complex lounge sheli
Hapa ni sehemu inayokuja kwa kasi sana ..majuzi kati alikuja bibie zuchu wa usafinj.
Kama unataka kucheza magoma basi usikose sehemu hizi zifuatazo.
Club 7 , hii kwa sasa imeboreshwa zaidi kila kitu .imekuwa bab kubwa.
Utamkuta DJ stevow akiwasha moto.
Pia kuna malaika annex ..hapo napo sio pa mchezo mchezo
Hapa huwa namsave kugonga ngoma mbili tatu one deck mwanangu wa hapo.
Yote yote hapa pestana lounge sio pa kukosa kabisa ..
Muziki upo wa viwango vya 5G
Hii ipo uzungunj karibu na kwangu image .
Kuna madj wakali
Kama vile dj k vee atatoa ladha za kibongo na Kongo
Dj full G atakupa ladha za kwaito/ amapiano na trap.
DJ chillah the baddest atakupa naija fravoul za moto.
Dodoma pamenogaa
pia kiwanja kingine ambacho kipo simple sana na nakipenda kwa sababu kipo mahali ambapo ni barabarani Malaika AnnexUnataja vyote unaacha Rainbow?.
Karibu sanaNapakubal Sana hapo
Baada ya hii post kesho yake lilitokea jambo kubwa la kitaifa kama cjakoseaDodoma ubunifu wao kufungua bar tu