Jonatus
JF-Expert Member
- Dec 16, 2013
- 1,403
- 379
mpaka hapa nshapata uzoefu wa kutosha
Hahah Mr Youngkato experience gani??
mpaka hapa nshapata uzoefu wa kutosha
Namba 1 inanihusu, nilipata roommate snitch ni hatari, me mlevi ye sabato.
Hahah Mr Youngkato experience gani??
ya maisha ya chuo kidogo nimepata idea
utamu wa ngoma ingiaucheze
utamu wa mchezo ni kupiga bao
Hayo yapo kwenye vyuo vyenu vya kata tu. Hutayakuta kwenye vyuo responsible such as MUMUKIWA CHUO TEGEMEA YAFUATAYO
1. Kupata room mate ambaye hamuendani itikadi
2. Kupata demu/msela mpya na kumsahau uliemuacha nyumbani &[HASHTAG]#128108[/HASHTAG]; &[HASHTAG]#128108[/HASHTAG];
3. Kuwaza kuwa na smartphone kali, tofauti na ki-tecno chako
4. Kupiga pasi ndefu (kula milo chini ya mitatu kwa siku)
5. Kuamini kuwa tv na sabufa ndio maendeleo katika maisha yako
6. Kununua nguo unazoamini ziko kichuo chuo na kutelekeza ulizo kuja nazo kutoka nyumbani
7. Kuongeza mapenzi kwa girlfriend au boyfriend boom linapokata &[HASHTAG]#128184[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128183[/HASHTAG];
8. Kumlaza room mate wako nje boyfriend/girlfriend wako nje usiku wote bila kujali
9. Kuishi kwenye ndoa zisizo rasmi (sogea tukae)
10. Kubeba ujauzito kwa matarajio ya kulinda penzi (wakati chuo kina karibia kumalizika). Kupata shahada mbili
MSAIDIE ANAENDA KUANZA CHUO.
are you kidding?Hayo yapo kwenye vyuo vyenu vya kata tu. Hutayakuta kwenye vyuo responsible such as MUM