Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

Wengi waningia clubs weekend wanabaki wawili room nawao wanaleta ''watoto''
 
Kweli huwa nawashangaa sna wadada hasa wa mwaka wa mwisho, mana wengi huwa wajawazito ifkapo semister ya mwisho, Lakn mwishowe mapenz huwa yanaishia mara 2 baada ya kutawanyka. Mwe makini mnaonda chuo.
 
karibuni sana katika maisha ya buku saba jero... ukiwa na papara na hiyo hela utaishia kupiga pasi ndefu kila siku...
 
karibuni sana katika maisha ya buku saba jero... ukiwa na papara na hiyo hela utaishia kupiga pasi ndefu kila siku...
Lakini kuna wagumu anakula buku mchana(Rb) na buku jioni vocha ya jero jumla 2500 anasave 5000. Mtu anajipimia adi maji ya kunywa ili yasiishe.
 
Kuna ishu ya kupigwa exile ni kitu ya kawaida sana . hasa ukiwa na room mates wanaopenda ku do iyo kitu utapigwa exile kila cku inabd nawewe utafte lasivyo utageuzwa mtoto wa mama ntilie.
 
Boom likitoka watu wanasahau shule (module) then ukianza kupata 0.5 ya 10 ndo unashtuka. Wadada wanakuja na magauni na sket ndefu baada ya wiki 2 zote zimepelekwa kwa fund. Mtu anakuja mporipori ila akishafundishwa kuvaa wigi na trouser ni shida.
Watu kushindwa kutumia ATM mashine wanakupa kad uwasaidie unapika 20 kwanza alaf boya ashtuki.
Mtu akishapewa room floor ya juu anapiga cm nyumbani " huku tunalala ghorofani".
Watu kushindwa kutodautisha sink la kikojolea na kuswakia.

Chuo ni kujifunza pia namna ya kuish na watu. I lyk college life
 
God rescue me
Kwa majanga ya kuwa na Roommate wa ajabu hapo itabidi nifanye kitu cha ziada
 
Luna wale wala panya a.k.a bange musubirie
 
Back
Top Bottom