Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

Lakini kuna wagumu anakula buku mchana(Rb) na buku jioni vocha ya jero jumla 2500 anasave 5000. Mtu anajipimia adi maji ya kunywa ili yasiishe.

halafu baada ya hapo hiyo pesa aliyokomaa kuitenga unakuta anamalizia kwenye mambo ya starehe na manunuzi ya vitu visivyokuwa na maana kiuchumi...

Wana vyuo ndivyo tulivyo! tunafahamiana kwa vilemba!
 
mjiandae kutapikiwa rum na jamaa walevi.!!

aisee hii ipo sana!

anatapika tena usiku wa manane mkiwa kati kati ya mausingizi yenu... halafu anakataa kudeki!
daaadeki..
 
Boom likitoka watu wanasahau shule (module) then ukianza kupata 0.5 ya 10 ndo unashtuka. Wadada wanakuja na magauni na sket ndefu baada ya wiki 2 zote zimepelekwa kwa fund. Mtu anakuja mporipori ila akishafundishwa kuvaa wigi na trouser ni shida.
Watu kushindwa kutumia ATM mashine wanakupa kad uwasaidie unapika 20 kwanza alaf boya ashtuki.
Mtu akishapewa room floor ya juu anapiga cm nyumbani " huku tunalala ghorofani".
Watu kushindwa kutodautisha sink la kikojolea na kuswakia.

Chuo ni kujifunza pia namna ya kuish na watu. I lyk college life

tisha sana anapiga simu home huku tunalala gorofani
 
yaan mm nilipangwa rum na vichwa vigumu hvyo,hawanunui soap,body spray hata dawa ya meno,yaani ilikua shida,chumba full makelele,kamari za karata na mpira zilikua zinapigiwa humo,mwanzo nilikua nachukia mwisho nikawazoea,maana now nataman nikae nao pia,nakumbuka masela wa mwaka wa 3 waliibeba taulo yangu wakaikata vipande vitatu eti wanadai taulo kubwa na wao hawana taulo so tugawane,yaan nilichoka but baadae niliwazoe,nakumbuka semister 1 kuna masela wawili walitiwa supp4 mmoja 3 sisi wengine moja moja,basi semister 2 akili zilikaa sawa wale masela walikua wanakesha class maana la cvyo hali ingekua mbaya,but mwisho wa cku tulizoeana na shida tunasaidiana na mpaka saiv tupo marafiki
 
Mwanzoni lazima upate shida lakini mkishazoeana unaona kawaida tu.
 
Binti hata kama umetokea seminary na international schools...ukifika chuo utamegwa kiulainiii,utavaa wigi na kuvaa jeans na sket fupi

haahaaah kweliiii kabisAaaaaaaa..
 
Ulevi wa kupindukia boom linapotoka,wataalam wakulipangia boom lako matumizi. Kwa kukupeleka Club na kwenye. Sehemu za starehe
 
TYPES OF FRIENDS YOU WILL MEET AT THE UNIVERSITY

1. The rich guy/gal: This one comes to school as if he/she is packing into a new apartment. They have everytin, fan, dryer, tv and all sorts of gadgets..and if any is stolen, they get another one ASAP.

2. The Pastors: these ones walk room by room preaching d gospel. not bad though

3. The beggars: these ones beg for anytin....salt, peper, shoes and even boxers...and dey behave as if their father owns the world.

4. The lucky Friends: these ones Always comes around wen d food is ready...as if dem plant camera to monitor you.

5. The village man: this one comes to school wit all sort of tinz like Maize, Iru, cassava flour, cutlass

6. The problem solver: this one's room is Always full during exam and test as students wants to get solution to deir academic problems from him.

7. The cooks: these ones enter d kitchen more often than the rats living dere. They cook all day that you begin to wonder if they were employed to cook.

8. The lover boys: This one dont cook but brings food from different gals everyday...i heard its called "COOLER MINISTRY"

9. The thieves: these once will be like, "I like this your Shoe o" b4 u knw it, ur shoe is gone.

10. The gamers: these once plays games...pes, fifa, Nfs, killswitch and others all day.
 
yaan mm nilipangwa rum na vichwa vigumu hvyo,hawanunui soap,body spray hata dawa ya meno,yaani ilikua shida,chumba full makelele,kamari za karata na mpira zilikua zinapigiwa humo,mwanzo nilikua nachukia mwisho nikawazoea,maana now nataman nikae nao pia,nakumbuka masela wa mwaka wa 3 waliibeba taulo yangu wakaikata vipande vitatu eti wanadai taulo kubwa na wao hawana taulo so tugawane,yaan nilichoka but baadae niliwazoe,nakumbuka semister 1 kuna masela wawili walitiwa supp4 mmoja 3 sisi wengine moja moja,basi semister 2 akili zilikaa sawa wale masela walikua wanakesha class maana la cvyo hali ingekua mbaya,but mwisho wa cku tulizoeana na shida tunasaidiana na mpaka saiv tupo marafiki

Hongera Yako Kufanikiwa Kuzoea
 
Kwani wewe kuzoea ni ngumu??

Kuna vitendo vingine havizoeleki asee ,nilikaa dom moja na wala panya asee nilikua sijawah sikia majan ya bang yananukaje nikayasikia na usiombe waende kunywa matap tap ya kule moshi niful shida kuwaamsha usiku na wakutapika wanatapika ila nikazoea sio sana
 
Ila kweli kuna vingine vya kuvumilia na vingine ni ngumu kuvumilia asee
 
BADO wagongea boxa kiwi mafuta nguo cjui viatu

Hahaha na wanaoomba tsh 200 kila siku oi Bro nigee mara moja nitakurudishia kumbe ndo forever

Na careless people hao kwangu ndo zero tolerance kabisa siwavumilii
 
Namba 1 inanihusu, nilipata roommate snitch ni hatari, me mlevi ye sabato.
 
Hahaha na wanaoomba tsh 200 kila siku oi Bro nigee mara moja nitakurudishia kumbe ndo forever

Na careless people hao kwangu ndo zero tolerance kabisa siwavumilii

HAHAHAHA somehow we look alike! Yale macareless
 
Hahaha na wanaoomba tsh 200 kila siku oi Bro nigee mara moja nitakurudishia kumbe ndo forever

Na careless people hao kwangu ndo zero tolerance kabisa siwavumilii

mpaka hapa nshapata uzoefu wa kutosha
 
Back
Top Bottom