Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

Dr Chiko

New Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
3
Reaction score
10
UKIWA CHUO TEGEMEA YAFUATAYO

1. Kupata room mate ambaye hamuendani itikadi

2. Kupata demu/msela mpya na kumsahau uliemuacha nyumbani 👬 👬

3. Kuwaza kuwa na smartphone kali, tofauti na ki-tecno chako

4. Kupiga pasi ndefu (kula milo chini ya mitatu kwa siku)

5. Kuamini kuwa tv na sabufa ndio maendeleo katika maisha yako

6. Kununua nguo unazoamini ziko kichuo chuo na kutelekeza ulizo kuja nazo kutoka nyumbani

7. Kuongeza mapenzi kwa girlfriend au boyfriend boom linapokata 💸💷

8. Kumlaza room mate wako nje boyfriend/girlfriend wako nje usiku wote bila kujali

9. Kuishi kwenye ndoa zisizo rasmi (sogea tukae)

10. Kubeba ujauzito kwa matarajio ya kulinda penzi (wakati chuo kina karibia kumalizika). Kupata shahada mbili

MSAIDIE ANAENDA KUANZA CHUO.
 
Oooh bora nichaguae mapema roommate from my classmates tunaeendana nae tabia marue rue sitaki huko
 
Hahah kwenye simu hapo sasa kuna wengine simu zao zenye bandage na Rubber band's
 
Na wale wanaoweka kijikaratasi kuzuia battery isichomoke wakifika tu wapo razi wanunue touch ya elfu hamsini na wao waonekane!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unaweza chagua class mate lakini hujawahi kaa nae so kikubwa tu be careful kuna classmate wengine kwa kumuangalia tu yupo poa ila kaa nae ndio utajua yupoje. Kuwa makini.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
tv na subufa ndo maendeleo mkuu umetisha
 
Jiandae kucijua viwanja vipya!
 
Oooh bora nichaguae mapema roommate from my classmates tunaeendana nae tabia marue rue sitaki huko

sikushauri sana maana kukaa na classmate wako haina maana kuwa mtaendana nae kitabia..kama unaweza n bora ukatafute room uanze maisha alone..
 
sikushauri sana maana kukaa na classmate wako haina maana kuwa mtaendana nae kitabia..kama unaweza n bora ukatafute room uanze maisha alone..

I mean my High School mate ndo ninachomaanisha sio wa kuchagua huko chuoni...ambae tulisoma pamoja A level au O level
 
I mean my High School mate ndo ninachomaanisha sio wa kuchagua huko chuoni...ambae tulisoma pamoja A level au O level

chuo unapangiwa na wakukaa nae na hujipangii wewe,hata ukipangiwa shoga ndio utakaa nae mwaka nzima na atakua msela wako pia,
 
Nina historia yakuwa Dom leader tangu olevel
 
Hii PMU (pata mimba uolewe) imetumika sana pale Muhas wanadada wakifika mwaka wa Tano....hahahahaha
 
Kwenye mimba hapo umeua mkuu, kwenye semister ya mwisho kwa mwaka wa tatu chuo walikigeuza clinic
 
UKIWA CHUO TEGEMEA YAFUATAYO

1. Kupata room mate ambaye hamuendani itikadi

2. Kupata demu/msela mpya na kumsahau uliemuacha nyumbani í-½í±¬ í-½í±¬

3. Kuwaza kuwa na smartphone kali, tofauti na ki-tecno chako

4. Kupiga pasi ndefu (kula milo chini ya mitatu kwa siku)

5. Kuamini kuwa tv na sabufa ndio maendeleo katika maisha yako

6. Kununua nguo unazoamini ziko kichuo chuo na kutelekeza ulizo kuja nazo kutoka nyumbani

7. Kuongeza mapenzi kwa girlfriend au boyfriend boom linapokata í-½í²¸í-½í²·

8. Kumlaza room mate wako nje boyfriend/girlfriend wako nje usiku wote bila kujali

9. Kuishi kwenye ndoa zisizo rasmi (sogea tukae)

10. Kubeba ujauzito kwa matarajio ya kulinda penzi (wakati chuo kina karibia kumalizika). Kupata shahada mbili

MSAIDIE ANAENDA KUANZA CHUO.

room mate hamwendan
ha ha ha h haaaaaa
 
Back
Top Bottom