RPC alishaomba msamaha? au walishakutana kwenye kikao cha usuluhishi na machifu? Kesi ilishafutwa? Naomba kujuzwa ili nijue ni Msuku au RPC aliyekuwa sawa!Kanyea debe mahabusu hadi kashika adabu yake
Huyu Msukuma bhana sasa anasema RPC kwake ni mdogo sana wakati huo huo huyo ndyo anae mweka sero [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wafanye mabadiko RPC awe mkubwa kwa RC kwasabu anamiliki lock upAseme sasa; kiongozi gani unaona maovu kwa viongozi wenzako then unaacha tu kuvisema hadi na wewe uamshiwe dude... RPC usitishwe na huyo weka sero huyo hana usafi wa kukutisha. Angekuwa ni mtu msafi asingesubiri mpaka kukamatwa ndo aanze kutisha watu.
Mtu msafi akiona uchafu huwa anasema hapo ni pachafu au hapo ni pasafi. Huwa hasubiri mpaka unataka kulipa visasi ndo aseme uovu. Kama kiongozi ukiona uovu unasema.
Kama wewe ni msafi sema uovu wa wengine kwa nguvu zako zote bila woga wowote..
Kwa hiyo RPC akimuomba msamaha ndo basi tena; "business as usual"
Ndo maana LISU ataendelea kuwa jembe tu; MUNGU amponye huko alipo.
Wewe unauliza majibu, hujui kuwa Chato iko Mkoa wa Geita?kanaonekana kanajiamini sana haka kajamaa, sijui ni kitu gani kanachompa kiburi.
Bado saa chache tu utasikia!Amesema yeye ni mwenyekiti wa chama kinachotawala (nadhani anamaanisha yuko juu ya sheria, kama alivyomaanisha!!)
Nataraji tume ya maadili ya viongozi inaweza kuhusika na suala hili ama tusubiri kuona majibu ya chama chao ndipo tutaujua ukweli.
Nina shaka RPC anaweza kuhamishwa kama sio kutumbuliwa!!!
Hakuna anaeweza kulikataa hili lakini Je taarifa yake inaleta picha gani kwa jamii hususan wale wanaomuabudu kule Geita? Nini athari yake kwa vyombo vya dola? Je walitathmini watendaji katika vyombo vya dola watalipokeaje licha ya wananchi wale wa kada zetu ambao hawajui uhuru wa maoni na hawana muda wa kuisoma katiba ya nchi yetu?
Katiba gani anayoilinda kwa kudharau mamlaka nyingine? Kwanini anataka matumizi ya nguvu badala ya mazungumzo kwenye anachosema wanadai? Hivi nani asiyejua wanaokula kwa hao wazungu ndio hao hao wana siasa?Aliapa kuilinda katiba!!
....na wanasiasa wanaopinga nchi isiliwe wanasemwa si wazalendo ndio wanatetea wazungu!!!Katiba gani anayoilinda kwa kudharau mamlaka nyingine? Kwanini anataka matumizi ya nguvu badala ya mazungumzo kwenye anachosema wanadai? Hivi nani asiyejua wanaokula kwa hao wazungu ndio hao hao wana siasa?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]....na wanasiasa wanaopinga nchi isiliwe wanasemwa si wazalendo ndio wanatetea wazungu!!!
Mungu Ibariki Tanzania
Tunaishi Nchi ya ajabu kabisa! Inabidi kucheka tu wakati mwingine maana hakuna namna tena Mkuu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tunatafuta sana sifa bila sababu. GGM hawajakuja kuchimba dhahabu kwa mtutu wa bunduki. Wana mikataba.Tunaishi Nchi ya ajabu kabisa! Inabidi kucheka tu wakati mwingine maana hakuna namna tena Mkuu.
Maneno mazima sana haya; Ila wengi "wetu" Tutayapita kama vile hatuyaoni!!!Tunatafuta sana sifa bila sababu. GGM hawajakuja kuchimba dhahabu kwa mtutu wa bunduki. Wana mikataba.
Mwenyekiti wa Chama na madiwani wanaanzaje kuzuia uchimbaji wakati serikali iliyoingia huo mkataba ipo?
Nchi zinaharibika sababu ya kutoheshimu sheria na taratibu.
Msukuma ni muongeaji mzuri ila kwa hili amechemsha. Hana mamlaka nalo.
Halafu sio kila kiongozi anatoa amri ambayo ni lazima iheshimike. Hayo mambo yanafanyika kwenye mkutano wa kambale tu ambao kila mhusika na sharubu....tuache masihala na tuache siasa za maji taka.
Amesema yeye ni mwenyekiti wa chama kinachotawala (nadhani anamaanisha yuko juu ya sheria, kama alivyomaanisha!!)
Nataraji tume ya maadili ya viongozi inaweza kuhusika na suala hili ama tusubiri kuona majibu ya chama chao ndipo tutaujua ukweli.
Nina shaka RPC anaweza kuhamishwa kama sio kutumbuliwa!!!
Ni zaidi ya CCM picha limejitokeza wazi sasa... hata wanaposema "...wakubwa wenu wananitambua..." hatupaswi kuhoji aisee...Ndio c wamsikia msukuma anasema rpc hawez shindana nae sababu yeye ni ccm