Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Je hivi vitisho kwa watekelezaji sheria vitatufikisha wapi?
Kwanini mahakama isichukue mkondo wake?
Je tunahitaji viongozi wanaotisha watendaji?
Je baada ya hapo nini kinafuata?
Je RPC nae atahitaji kupanda majukwaani?
Je hasara iliyotokea anaweza kuilipa ama mgodi ukitathminisha hasara ni zaidi ya gawio nini kitatokea!
Vyeti feki aliishia kuandika kwenye basi lake hakutoa ushahidi je wa RPC ataweza.
Mh. Msukuma apunguze mhemko! Mambo hutokea, ajue hayo ndiyo yanayowakuta wabunge wa upinzani. Aache kulialia apambane na hali yake