Ukivunjika mbavu mie simo!

Ukivunjika mbavu mie simo!

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
3,988
Reaction score
1,308
Zuzu kaenda kumsalimia mamaake mdogo kajifungua. Alipofika
kamwuliza, "Mamdogo mtoto huyu umempata wapi?" Mamaake mdogo
kamjibu, "Nimemnunua hospitali mwanangu." Zuzu kauliza tena, "Hiyo hospitali ya Kichina?" Mamdogo wake kashangaa, "Kwa nini
Zuzu?" Zuzu kajibu, "Mbona wamekuuzia mtoto hana meno?"
 
Mama mdogo angemjibu kuna aina mbalimbali kwa hiyo amemchagua ambaye hana meno
 
Teh teh ningemjibu wenye meno kama wewe ndio fake..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom