Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 557
- Thread starter
- #21
Labda kwakuwa vyote vinatumia uongo.Mapenzi ni siasa
Labda kwakuwa vyote vinatumia uongo.Mapenzi ni siasa
Hahaha JFMapenzi si ubondia
Wana wa jukwaa amani kwenu!
Kwa upeo wako binafsi ukiulizwa mapenzi ni nini? utasemaje?
Kama DECI?Mapenzi ni utapeli
Bravo Boss.....naona hili swali wengi wanaliuliza.
Is never boring.Hahaha JF
Umepatia sana mkuu....ni mchezo flani usiohitaji hasira.Kama DECI?