Ukiukwaji wa haki za binadamu ni tatizo

Ukiukwaji wa haki za binadamu ni tatizo

mark shija

New Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Kumekuwa na madai kwamba baadhi ya vyombo vinavyosimamia haki za binadamu kam vile mahakama, halimashauri zamiji na mitaa, polisi na vyombo vingine vya dola kutotilia maanani swala la kuheshimu na kuzithamini haki za binadamu. vyombo vya dola vinaonekana zaidi vikisimamia masilahi ya watawala pasipo kujali haki za wanyonge. mfano mkubwa ni hukumu zinazotolewa mahakamai ikiwa pamoja na utumiaji wa nguvu kwa watu wwasio na hatia. tumeshuhudia wenyewe mauaji ya raia wasiona hatia, mfano mauaji ya mwandishi wa habari, mauaji ya watu huko Nyamungo na mengine mengi. kwa upande wangu suala hili lisiposhughulikiwa ipasavyo na kw usawa, amani tunayojivunia tunayo itageuka kuwa huzuni. naiomba serikari na vyombo vyake vya usalama kuhakikisha kuwaa thamani ya mtu inaheshimiwa. kila mtu afurahie haki aliyonayo. matumizi ya nguvu kwa watu watulivu ni uchokozi wa kutaka kujua watu kama ni makini kwa haki zao.
 
Back
Top Bottom