Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 519
- 1,041
Binadamu ukiua au kumwaga damu ya mtu si rahisi kuwa na akili timamu katika maisha yako yote yaliyo baki kwa sababu kuua kunahusiana zaidi na tendo la hisia, maadili na ubongo wa binadamu.
Kwa nini mtu ukiua sio rahisi kubaki na akili zako timamu.
1. Asili ya kimaadili (moral conflict)
Watu wengi wamelelewa kwa kanuni za kimaadili zinazokataa kuua. Ukienda kinyume na maadili yako ya ndani, ubongo huingia kwenye mgongano mkubwa wa kihisia unaoweza kusababisha:
Hatia
Hofu Msongo wa mawazo
Kujichukia -unatamani ufe
2. Mshtuko wa kiakili (trauma)
Kitendo cha kuua, hata kama kilikuwa cha kujilinda, kinaweza kusababisha kiwewe (trauma). Hii inaweza kuathiri: usingizi wako, utulivu wa kiakili na fikra, uwezo wa kumudu hisia na kuwa na tatizo la afya ya akili.
3. Mwitikio wa mwili (fight-or-flight chemicals)
Tukio la kuu uvuruga ubongo, ubongo hutoa kemikali kama vile adrenaline na cortisol. Kiwango hiki cha msisimko wa mwili kinaweza kubadilisha utendaji wa kawaida wa ubongo na kuacha mtu akiwa na wasiwasi, hasira isiyodhibitika au kumwondolea utulivu au kutotulia wakati wa kuongea, kusikiliza na hata kutenda.
4. Athari za kijamii na kisheria
Mtu aliye ua huwa na hofu muda wote ya kukamatwa, hukumu ya jamii (social sanction) kutengwa , au madhara kwa familia pia inaweza kuathiri sana utulivu wa akili.
5. Ubongo wa binadamu umejengwa kwa huruma
Kihistoria, binadamu tumefanikiwa kwa kuishi kwa ushirikiano. Kuua kunavunja muunganiko huu wa kijamii na kiasili, jambo ambalo ubongo huliona kama tishio kubwa. Hata kuongea utaongea kwa kupayuka payuka.
Ukiua utulivu wa kiakili unakua mdogo sana , hasira, wasiwasi, mashaka mshituko na mawazo hukujia mwisho wa siku utakufa kwa vifo vya ajabu ajabu kama vile , mshituko wa moyo, stroke, paralaizi, kisukari hata magonjwa ya moyo (pressure).
Huenda jirani yetu anapambana sana na maroho ya roho alizoua , maana ameua wasio uwawa, ameua wasio na hatia ,ameua Walpole, ameua majini, vilima, viwete, ameua vichaa, kila asili ya mwanadamu ameiua. Roho yake inapambana kujinasahau kwa sababu alishasema labda aliwahi kuua sisimizi.