Ukitumbuliwa, usiumie sana kwani utakuwa miongoni mwa Wananchi wanaohitaji huduma bora.

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,488
Mtumishi wa serikali ukitumbuliwa usiumie sana maana na wewe unakuwa umeungana na wananchi walio wengi kudai huduma bora kwani lengo la kutumbua ni ili wananchi wapate huduma bora.

Sasa badala wewe uumize kichwa kutoa huduma bora ili umridhishe mfalme, utakuwa unadai hizo huduma bora.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom