Ukitolewa bikra halafu usipofanya tendo kwa muda mrefu inakuwaje?

Itakuwa huyu alichepuka kwa mtu mwingine half Ana mtu wake kambania anasema yeye ni bikira anafikiria siku akikutana naye akakuta vijana wamepita.
 
damu ikitoka ndo nitokee hiyoo na kama maumbile ya jamaa yalikuwa makubwa jua ndo ushakuwa mwanamke tayari na kamma ni bao moja jua kuwa ita bana tu
 
Back
Top Bottom