Ukitokewa na tukio hili utakinukisha au utauchuna?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,433
120,791
Wewe ni Mfanyakazi wa KAMPUNI fulani halafu kwa muda mrefu umekuwa na MAHUSIANO ya KIMAPENZI na mtoto wa Bosi wako ( BINTI ambaye tena ni Mwanafunzi wa kidato cha tatu ) hivyo ukapanga kesho yake kwenda kukutana nae KIMWILI safari hii nje kidogo ya mji wa Dar es Salaam na ikakulazimu UOMBE ruhusa ya kuwa umepatwa na DHARURA na UKAKUBALIWA na bosi.

Wakati wewe huku ukijiona ni bonge la MJANJA kuwa kwanza UMEMDANGANYA Bosi wako halafu tena japo anakulipa MSHAHARA mkubwa tu lakini pia Binti yake una MAHUSIANO nae ya KIMAPENZI kesho yake mkaanza safari ya kwenda huko mbali au nje kidogo ya jiji na Lodge fulani ambapo wakati mnaingia katika hiyo Hotel mara ghafla anatokea yule yule Bosi wako uliyemuaga jana tena wote mkiwa mnatizamana na yeye akiwa na MCHEPUKO wake ambaye ni Mkeo wa NDOA kabisa.

Je katika hali kama hii au mazingira kama haya Wewe Mfanyakazi UTAUCHUNA kuendelea kwenda KUSTAREHE chumbani na Binti wa yule Bosi wako huku ukijua kuwa na Wewe Mkeo anakwenda kuliwa URODA na yule Bosi wako au utaamua KUKINUKISHA ( kuanzisha FUJO ) pale lodge dhidi ya Bosi wako na Mkeo wa Ndoa.

Na kama ikitokea MKONO wa SHERIA kuchukua mkondo wake hapa nani ATAUMIA sana? Wewe kama ndiyo huyo Mfanyakazi SITUATION kama hii utaitatua au utaikabili vipi ukikumbuka kuwa kwanza jana ulimwomba ruhusa kwa kudai umepatwa na DHARURA lakini pia umekutwa unaingia lodge kwenda kumla URODA Binti yake na Bosi wako ambaye bado ni Mwanafunzi wa Kidato cha tatu tu.

Karibuni mtoe MAUJUZI yenu ili siku ya siku YAKITUKUMBA tujue TUNALISANUA vipi kwani kwani naamini wapo watu ambao pengine tena hata sasa hivi hali hii imemkumba hebu basi kwa UMOJA wetu tujitokeze kumsaidia huku wengine tukichua TAHADHARI.
 
Sipati picha mtu mwenye mke wake kabisa atoke na mtoto wa Form 3? Hapana hapo kuna leta ukakasi kwenye simulizi lako badili hapo kwenye kidato cha huyo mtoto wa bosi kama ni hadithi ya kufikirika....
 
Kuna jamaa yangu yupo banana kazaa na mtoto wa darasa la saba wa mwaka 2014, wkt huo huo yeye ana mtoto wa kidato cha 3 mwaka huu. usipende kushangaa sana vituko vidogo vidogo kama hivyo.
 
Sipati picha mtu mwenye mke wake kabisa atoke na mtoto wa Form 3? Hapana hapo kuna leta ukakasi kwenye simulizi lako badili hapo kwenye kidato cha huyo mtoto wa bosi kama ni hadithi ya kufikirika....
Heeeh ujawahi sikia matangazo ya fataki
 
Sipati picha mtu mwenye mke wake kabisa atoke na mtoto wa Form 3? Hapana hapo kuna leta ukakasi kwenye simulizi lako badili hapo kwenye kidato cha huyo mtoto wa bosi kama ni hadithi ya kufikirika....
Mbona kuna wazee wanawajukuu zao wanatembea na watoto wa darasa la sita......
 
Babu mimi naliendeleza.

Siwezi kupoteza gharama zangu, halafu nifagilie.

Hayo mambo mengine tutajadili ofisini.

Au nikiona uchawi eneo hilo, namuambia mrembo tubadilishe kiwanja hapa ishakuwa mwira
 
Kwanaza nikwambie kama itatokea lazima utakuwa mpole, unajua kwanini???

Yule ni bosi wako ukifanya fyoko, anafunga koki.

Mpaka hapo unarapua binti yake ambaye ni mwanafunzi wa jamhuri ya muungano..akiamua kwenda mahakamani utapotea.

We cha msingi ni kumsikiliza akifoka kuwa uko na mwanae, mwambie pia uko na mke wangu wa ndoa.

Baada ya hicho kisanga cha siku hiyo kwisha kila mtu ataamua aendelee na mchepuko wake au vip.

Lakini kwa mimi ntaendelea kumtunuku mahaba huyu dent kisha kusajili rasmi kuwa nyumba ndogo.
 
Easy tu! Badilishaneni tu na boss mpe mkeo jumla kwasababu umeona akutoshelezi ila anamtosheleza boss wako halafu na ww mwambie boss akupe mwanae bila mahali......
 
Kama kupoteza mda tu nikuambie hivi. Huyo Boss angenilipa nusu ya mali za kampuni yake. Yaani ningekinukisha ile mbaya kuwa nilijua anachonitendea kumla mke wangu ndo maana nikatega mtego huu. Ningemwambia binti kuwa nilimleta auone ufuska wa babake wala sina mpango naye.
Nakuambia, hata japo sijui sm ya paparazi yeyote lakini ningeliipata ya Shigongo siku hiyo aje na OFM wake hapo kama jamaa haandiki hiyo cheki na msala wa barua ya kunifanya partner tena pasu pasu. Usilogwe ukanijaribu
 
Daaah! Hiyo ngumu sana kumeza. Ngoja nichekeche mawazo kwanza, hapo ukikurupuka unaweza kuishia jela maana kesi ya huyo mwanafunzi si chin ya 30years. Ukiongezea kazi utapoteza maana boss hawez kukuvumilia
 
Hapo nakua mpole tu kama hakuna kilichotokea Moyoni ntasema boss kanizid maarifa
 
Sipati picha mtu mwenye mke wake kabisa atoke na mtoto wa Form 3? Hapana hapo kuna leta ukakasi kwenye simulizi lako badili hapo kwenye kidato cha huyo mtoto wa bosi kama ni hadithi ya kufikirika....
unabisha kwani hayatokei?watu wanabeba hadi std six nn form 3...
 
Wewe ni Mfanyakazi wa KAMPUNI fulani halafu kwa muda mrefu umekuwa na MAHUSIANO ya KIMAPENZI na mtoto wa Bosi wako ( BINTI ambaye tena ni Mwanafunzi wa kidato cha tatu ) hivyo ukapanga kesho yake kwenda kukutana nae KIMWILI safari hii nje kidogo ya mji wa Dar es Salaam na ikakulazimu UOMBE ruhusa ya kuwa umepatwa na DHARURA na UKAKUBALIWA na bosi.

Wakati wewe huku ukijiona ni bonge la MJANJA kuwa kwanza UMEMDANGANYA Bosi wako halafu tena japo anakulipa MSHAHARA mkubwa tu lakini pia Binti yake una MAHUSIANO nae ya KIMAPENZI kesho yake mkaanza safari ya kwenda huko mbali au nje kidogo ya jiji na Lodge fulani ambapo wakati mnaingia katika hiyo Hotel mara ghafla anatokea yule yule Bosi wako uliyemuaga jana tena wote mkiwa mnatizamana na yeye akiwa na MCHEPUKO wake ambaye ni Mkeo wa NDOA kabisa.

Je katika hali kama hii au mazingira kama haya Wewe Mfanyakazi UTAUCHUNA kuendelea kwenda KUSTAREHE chumbani na Binti wa yule Bosi wako huku ukijua kuwa na Wewe Mkeo anakwenda kuliwa URODA na yule Bosi wako au utaamua KUKINUKISHA ( kuanzisha FUJO ) pale lodge dhidi ya Bosi wako na Mkeo wa Ndoa.

Na kama ikitokea MKONO wa SHERIA kuchukua mkondo wake hapa nani ATAUMIA sana? Wewe kama ndiyo huyo Mfanyakazi SITUATION kama hii utaitatua au utaikabili vipi ukikumbuka kuwa kwanza jana ulimwomba ruhusa kwa kudai umepatwa na DHARURA lakini pia umekutwa unaingia lodge kwenda kumla URODA Binti yake na Bosi wako ambaye bado ni Mwanafunzi wa Kidato cha tatu tu.

Karibuni mtoe MAUJUZI yenu ili siku ya siku YAKITUKUMBA tujue TUNALISANUA vipi kwani kwani naamini wapo watu ambao pengine tena hata sasa hivi hali hii imemkumba hebu basi kwa UMOJA wetu tujitokeze kumsaidia huku wengine tukichua TAHADHARI.
hapo ni wezi kwa wezi kila mmoja atamkimbia mwenzie na hakutakuwa na kinachoendelea zaidi ya kisasi au uchawi
 
Back
Top Bottom