mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,374
- 3,887
Nipeni range ya kutoa posa na mahali huwa vinachukua muda gani wapendwa.
Yaani ukitoa posa unakaa muda gani ndio utoe na mahari?
Yaani ukitoa posa unakaa muda gani ndio utoe na mahari?
Hainq muda maalum Mzee! Hata baada ya wiki 2 au mwezi
Baadhi ya jamii siku ya posa ndio siku hiyo hiyo ya mahari mathalani ukanda wa PwaniKwani ukileta posa ndio wanapanga na mahari siku hiyo hiyo au
Baadhi ya jamii siku ya posa ndio siku hiyo hiyo ya mahari mathalani ukanda wa Pwani
usiwe naharaka jamaa anajifikiria kwanza kuwa ayavagae au abadili maamuzi.
kama úlimpa k imekula kwako
Mahari si lazima
Huku kwetu ukitoa posa unasuburia wasuke mkeka wa mahari ,maana kuna mambo mengi sana unaweza kuta hata page zaidi ya mbili za mahitaji .
Ila ni mambo ya hovyo .
Haina muda maalum ila isizidi mwezi
Ni muda wowote mkuu
Sana sana mmoja hauzidi maana ni kikao tu basi cha wajomba na ndugu upande wa baba (kwa mwanamke) then wanapanga ,ndani ya wiki kadhaa inakuwa tayri.Kwaiyo itachukua miezi mingapi
Sana sana mmoja hauzidi maana ni kikao tu basi cha wajomba na ndugu upande wa baba (kwa mwanamke) then wanapanga ,ndani ya wiki kadhaa inakuwa tayri.
Ila siku ya kuletwa mahari nayo inapanga hata wiki mbili baada ya kupokea barua ya mahitaji yote ....Ndani ya wiki mbili na kuendelea unaweza kulipa .
Kutajiwa. Kuipeleka huenda ikafanyika hata baada ya wiki 2Yaani unatajiwa mahari siku hiyo au unalipa mahari siku hiyo
Kutajiwa. Kuipeleka huenda ikafanyika hata baada ya wikiYaani unatajiwa mahari siku hiyo au unalipa mahari siku hiyo
Miezi 5 ni mingi. Nahofia kusema hakuna muoaji hapoKuna mtu kanisubirisha miezi 5 nataka nirudishe posa yake akiwa tayari aanze upya
Muhuni huyo kwa sababu mahari ni utayari wa ndoa ,kwanza watu wengi wanalipa nusu yaani akiambiwa siku fulani mapema analeta hata kidogo na kuna uwezekano asilipe iliyobaki.Kuna mtu kanisubirisha miezi 5 nataka nirudishe posa yake akiwa tayari aanze upya