Ni muda gani unakuchukua kwenye mahusiana kuonesha tabia yako ya uhalisia?

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Apr 24, 2017
693
1,583
Ni muda gani kwenye mahusiano inakuchukua kuonesha tabia yako halisi kwenye uhusiano Au ile ku act and be yourself mfano, kutoa gesi tumboni, kula chakula uanchokipenda hadi kulamba sahani , kushinda na dera na nywele tano no makeup , kukoroma usiku, kurundika nguo na zingine zingi.

I think kila binadamu Ana vitabia flani mpak uishi nae Ndio unavijua vizuri apart from that huwaga tunaficha ficha .
 
Mimi vitu vingi nilikuwa uhalisia japo kuna baadhi baada ya kunijua vizuri akawa anasema nina tabia nzuri tofauti na namna ninavyoonekana. Yaani baada ya kunijua zaidi akagundua mimi ni lulu zaidi ya alivyokuwa anafikiri mwanzo japo alinipenda hivo hivo.

Ila ambayo bado najificha ficha aisee ni kujamba. Naanzaje kuachia buuuuuu” kirahisi rahisi. Japo kuna wakati vinaponyoka anafurahi mwenyeeewe ila mimi sipendi kujampa” mbele ya mtu yeyote hata kama sio mpenzi.
 
Miaka 10 tofauti na hapo mwanamke hawezi jua uhalisia wangu hata akiniloga ila kuijua tabia ya mwanamke ni hapo hapo unapokua unamtongoza kama siyo muongeaji na umempata mnyime hela au mkwaze kwenye jambo la serious utakuja ni shukuru
 
Mimi vitu vingi nilikuwa uhalisia japo kuna baadhi baada ya kunijua vizuri akawa anasema nina tabia nzuri tofauti na namna ninavyoonekana. Yaani baada ya kunijua zaidi akagundua mimi ni lulu zaidi ya alivyokuwa anafikiri mwanzo japo alinipenda hivo hivo.

Ila ambayo bado najificha ficha aisee ni kujamba. Naanzaje kuachia buuuuuu” kirahisi rahisi. Japo kuna wakati vinaponyoka anafurahi mwenyeeewe ila mimi sipendi kujampa” mbele ya mtu yeyote hata kama sio mpenzi.

Mimi vitu vingi nilikuwa uhalisia japo kuna baadhi baada ya kunijua vizuri akawa anasema nina tabia nzuri tofauti na namna ninavyoonekana. Yaani baada ya kunijua zaidi akagundua mimi ni lulu zaidi ya alivyokuwa anafikiri mwanzo japo alinipenda hivo hivo.

Ila ambayo bado najificha ficha aisee ni kujamba. Naanzaje kuachia buuuuuu” kirahisi rahisi. Japo kuna wakati vinaponyoka anafurahi mwenyeeewe ila mimi sipendi kujampa” mbele ya mtu yeyote hata kama sio mpenzi.
Na sisi tunaomba hicho kinacholia 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom