Ukitambua kifo jua umetambua maisha

Ukitambua kifo jua umetambua maisha

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
330
Reaction score
1,244
Huu Ndio Mwisho Wa Miili Yetu Sisi Ni Wapita Njia Tu Katika Hii Dunia Sio Mahali Pa Kujiona Mbora Kupita Mwenzako Eti Kisa Unaishi Maisha Mazuri Ukajiona Mbora Hapana Sote Mwisho Wetu Huu👇👇👇

Tuombe Mwisho Mwema Na Sote Tuingie Katika Pepo Yake.
1000046603.jpg
 
Huu Ndio Mwisho Wa Miili Yetu Sisi Ni Wapita Njia Tu Katika Hii Dunia Sio Mahali Pa Kujiona Mbora Kupita Mwenzako Eti Kisa Unaishi Maisha Mazuri Ukajiona Mbora Hapana Sote Mwisho Wetu Huu👇👇👇

Tuombe Mwisho Mwema Na Sote Tuingie Katika Pepo Yake.View attachment 3320065
Mwili ukifikia hivo funza hawawezi kuwa wengi hivo, 🤣🤣
 
Mkuu Tunatishana siyoo... (Picha yako inaogofya).. Anyway Ubize wote huu tilionao ni kuji shahaulisha kuhusu kifo. Na Maisha yana kuwa na maana ukiwa na ndoto.. Ukitimiza vyote maisha yana chusha..

Sanaa. Ndiyo maana niliwahi kuona Rais Mmoja wa Tasisi kubwa ya kiuchumi miaka miaka mitano iliyopita akijipiga risasi.. Na alikuwa na kila kitu.. Magari Mke Mzuri Watoto vitega uchumi kibao.. Heshima ya Jamii.. Ila alijiua.. Asee Dunia ina siri nyingi sana.. Mpaka leo huwa siamini..
 
Back
Top Bottom