Ukitaka wife material be a husband material kwanza

Rapunzel

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
1,079
Reaction score
601
Wewe unajijua sio Husband Material, lakini kutwa kucha umekazana kutafuta Wife Material, oh Mademu wa siku hizi feki kabisa sio Wife Material, utawapata wapi wakati we mwenyewe una harakati za dokta Pimbi? Chuma hufua chuma, Mgogo na Mchaga wataweza wapi kuelewana kama kila mmoja anaongea kilugha cha kwao?

Sumaku inavuta chuma na jamii ya Chuma, hainasi kwenye Sahani ya Udongo hata siku moja. Kama wewe sio Husband material jiandae kukumbana na mcharuko, usitegemee muujiza. Badilika wewe kwanza na Wife Material atapatikana kirahisi mbele ya macho yako, lasivyo kushnehi. Utasubiri sana,utazeeka hadi macho yataota vigimbi,hata siku moja Kipofu hawezi kwenda jela kwa kesi ya kukonyeza
 
Nimekubali. Ila wife materials sasa wako wachache sana. Wako wife money zaidi. Vipi, wewe mleta mada ni wife material au ni money?
 
Wewe unajijua sio Husband Material,lakini kutwa kucha umekazana kutafuta Wife Material,,oh Mademu wa siku hizi feki kabisa sio Wife Material,utawapata wapi wakati we mwenyewe una Harakati za dokta Pimbi??Chuma hufua chuma,Mgogo na Mchaga wataweza wapi kuelewana kama kila mmoja anaongea kilugha cha kwao?Sumaku inavuta chuma na jamii ya Chuma,hainasi kwenye Sahani ya Udongo hata siku moja.Kama wewe sio Husband material jiandae kukumbana na mcharuko,usitegemee muujiza.Badilika wewe kwanza na Wife Material atapatikana kirahisi mbele ya macho yako,lasivyo kushnehi...Utasubiri sana,utazeeka hadi macho yataota vigimbi,hata siku moja Kipofu hawezi kwenda jela kwa kesi ya kukonyeza

Watu mna mambo!!Ulichosema ni kweli, hata ili kupata Husband material lazima uwe wife material kwanza.Wakati mwingine,mmoja anaweza kuwa material mwingine asiwe,hivyo siyo lazima ila ni vizuri kuwa "material"
 
Wife material + husband material = children (material) square

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hiyo formula haiko hivyo wakati wote... Majambazi, mala.ya mashoga, wasagaji, na wahuni wengine wanzaliwa hao hao wife na husband materials...
 
Wewe unajijua sio Husband Material,lakini kutwa kucha umekazana kutafuta Wife Material,,oh Mademu wa siku hizi feki kabisa sio Wife Material,utawapata wapi wakati we mwenyewe una Harakati za dokta Pimbi??Chuma hufua chuma,Mgogo na Mchaga wataweza wapi kuelewana kama kila mmoja anaongea kilugha cha kwao?Sumaku inavuta chuma na jamii ya Chuma,hainasi kwenye Sahani ya Udongo hata siku moja.Kama wewe sio Husband material jiandae kukumbana na mcharuko,usitegemee muujiza.Badilika wewe kwanza na Wife Material atapatikana kirahisi mbele ya macho yako,lasivyo kushnehi...Utasubiri sana,utazeeka hadi macho yataota vigimbi,hata siku moja Kipofu hawezi kwenda jela kwa kesi ya kukonyeza

Mke/Mme hatafutwi jamani. Ukitafuta basi utapata malaya/kahaba
 
Duh ila hiyo mipasho nayo noma
 
Bila shaka kuna mtu amekwambia wewe sio wife material.
 
Du! hili nalo kama lina ukweli hiv ndani yake, ila mmmmhh linanigusa kimtindo mana Im serious searching a wife material one
 
Nimekubali. Ila wife materials sasa wako wachache sana. Wako wife money zaidi. Vipi, wewe mleta mada ni wife material au ni money?

Mimi ni 50-50 nitunze nikutunze
 
Watu mna mambo!!Ulichosema ni kweli, hata ili kupata Husband material lazima uwe wife material kwanza.Wakati mwingine,mmoja anaweza kuwa material mwingine asiwe,hivyo siyo lazima ila ni vizuri kuwa "material"

Sawa co lazima ila ndio itakuwa mume anamwaga ugali na mke anamwaga mboga....kazi ipo hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom