Ukitaka usizeeke mapema, fanya yafuatayo

Reina princess

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
1,322
Reaction score
1,503
Nawapenda wote

Fanya yafuatayo ili uonekane 10 years younger;

1. Epuka make up iliyopitiliza, mkorogo na mengine kama hayo
2. Epuka weaving, kucha, etc vya bandia

3. Usivae nguo za kukufanya uonekane wa makamo lakini vaa nguo za heshima

4. Nyonyesha kwa muda mrefu mwili unajibalance naturally

5. Epuka pombe. ukishindwa kunywa mara moja moja

6. Epuka artificial contraceptives

7. Jenga tabia ya kunywa chai ya ranging ( black tea) - imethibitishwa

8. Kuwa as natural as u can utaona matokeo yake. usisahau kula vizuri na kupumzika
 
Mkuu ushauri wako mzur ila sass hayo mambo kwa wadada wengi wa kibongo ni ngumu unataka wakose hela ya kula?
 
mkuu ushauri wako mzur ila sass hayo mambo kwa wadada wengi wa kibongo ni ngumu unataka wakose hela ya kula?

Afadhali umesema 'wengi' maana am alwayz natural situmii makup yoyote, tangu nimezazliwa sijawahi vaa wigi&kufuga mikucha ya shetani but hela ya kula na ku invest kidogo napata. wajiamini tu
 
Na ni nini faida za kutokuzeeka mapema?

Siyo ujicheleweshe tu bila sababu za msingi.
 
Exercise and drink lots of water..Eat healthy and stay healthy .Thanks..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…