Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
Mambo ya fedha yana changamoto mkuuKabisa mi nimepoteza rafiki na hela ,nlimkopesha hadi Leo kaingia mitini na namba kabadili
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu,pesa uleta uadui
Kweli mkuu,mi niliweza kuelewa labda hawana..lakini ni bora waniambie ukweli kuliko wanakuahidi ukipiga simu hawapokei.Kopesha kiwango unachiweza ku-afford kupoteza. Hamtagombana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hvyo ukimkopesha rafk unaweza vikosa vyote, unamkosa rafk unaikosa na pesa [emoji1787][emoji1787]Kabisa mi nimepoteza rafiki na hela ,nlimkopesha hadi Leo kaingia mitini na namba kabadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila mtu anaweza kusema ukweli.Kweli mkuu,mi niliweza kuelewa labda hawana..lakini ni bora waniambie ukweli kuliko wanakuahidi ukipiga simu hawapokei.
Tatizo mtu hakuambii kama anazo ama hana...mbaya zaidi hapokei simu yako na alikuahidi.Kukopa hakuvunji urafiki ila time ya kurejesha...
Nimejifunza hilo mkuuSio kila mtu anaweza kusema ukweli.
Wapo wa namna hiyo pia mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hvyo ukimkopesha rafk unaweza vikosa vyote, unamkosa rafk unaikosa na pesa [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo jitahidi kuwaelewa hivyohivyo na uishi nao hivyohivyo.Nimejifunza hilo mkuu
Kweli mkuu,nilijiuliza swali moja...ndio mtu uko mgonjwa mahututi na inahitajika fedha ya dharura kutoka kwa mtu wa karibu unayemuamini...hapo si ndio itakuwa shida zaidi.Kwahiyo jitahidi kuwaelewa hivyohivyo na uishi nao hivyohivyo.
ha ha ha ha si wote mkuuTatizo lenu hamlipi.Mnajifanya wapole sana muda wa kukopa.Time ya kurejesha mnakimbia.