Chief-Mkwawa ni kweli haya??
mimi mwenye glance screen n mda wote kioo changu kipo on na nafungua simu kwa double tap tu.
![]()
nyie mpaka mbonyeze hardware key
Chief mkwawa tuweke sawa cc tulio weka hizo sreen protector, what is d side effect
swala la charge inakuwaje mkuu?
idawa umemaanisha protector hii au protet ile ya patern, security code?
Me nifafanulie kwny sreen protector and not patern or security code.
mimi mwenye glance screen n mda wote kioo changu kipo on na nafungua simu kwa double tap tu.
![]()
nyie mpaka mbonyeze hardware key
Protect zinachangia kupunguza utamu wa simu yako.
Mkuu nimependa hiyo glance screen, je ni kwa aina fulani ya simu pekee au ni kwa simu zote??
Mkuu nimependa hiyo glance screen, je ni kwa aina fulani ya simu pekee au ni kwa simu zote??
Mmmmh kuna watu sim wanaweka protector mara makava kama mabed sheet ka mablanket ya kule mafinga yani utamu wa sim iwe yenyewe bila hzo takataka kwanza inakua sexy mbaya
#teamiphone6 withour protector and Covers.....!!!