ukitaka raha.......................... .............................. .............

arsenane,mansita,chelseatano,tottetano,......?
 
Cpati picha kama man cty acngekua na kiwango hiki ungekuta man u tunakaribia kutangaza ubingwa.
 
kama Rais wa chit chat, nakupa saa 1 kuomba msamaha kwa kuleta topik ya maumivu hivi chit chat.

Anyway, chelsea for life.
 
Watu wanashindwa kuelewa, kila timu huwa inabadilika badilika kulingana na mazingira mbalimbali, kama unaona raha Man U ya leo kesho utapata presha vilevile kama Arsenal, ndivyo michezo ilivyo! Ubingwa wa kila siku kwa timu moja haileti utamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…