Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

Kweli wewe ni fake knowledge! Eti wabovu usijumuishe mtu mmoja ukasema wote, labda huyo mkeo sijui demu wako ndio mbovu.of coz am not kaskaz bt this is not fair hata makabila wengne wapo wabovu pia
 

Nina miaka miwili naishi na hawa watu zero unaonekana unawajua vizuri sana hawa watu ur exactly rgt
 
Last edited by a moderator:

Kafanye upya utafiti wako.

Upo msemo usemao 'Ukimtongoza mke/demu wa kipare ukanyimwa, kaogee maji ya magadi'. Utoe nuksi!
 
Kafanye upya utafiti wako.

Upo msemo usemao 'Ukimtongoza mke/demu wa kipare ukanyimwa, kaogee maji ya magadi'. Utoe nuksi!

Hahahaa!haya mkuu lakini hayo maneno yanasemwa kwa kila kabila hata wa kusini wanao "niangusage, si sambi sako mwenyewe"
 

Shemeji naona umeandika kwa hasira kweli mti unaopigwa mawe ndio wenye matunda

basi sawa
 
kwa maoni yangu mke bora anategemea sana malezi ya wazazi na ucha mungu hizo habari za makabila ni story tu...miaka michache iliyopita tuliaminishwa kuwa wahaya ndio wanagawa papuche kama njugu na baadhi ya watu wakagwaya kuoa au kuolewa na wahaya but currently ushahidi unaonesha wanyakyusa na wahehe nao moto mkali, wakati huo huo kusini ya wamakonde na wazaramo nao wamo....wakati watu wakitajwa kwa ujumla wa makabila...ndani yao wapo wanawake safi watiifu wanaojua nini maana ya kuwa mke wanaheshimu na wanamwogopa muumba wao....study zinaonesha wanawake wa kutoka visiwani (pemba na unguja) wanadumu zaidi kwenye ndoa zao kuliko wa upande wa bara... ukitafakari kwa undani utagundua mlengo wa malezi ya staha na ucha mungu ndio sababu kuu ya wao kuhimili ndoa...embu ona hii..mara nyingi wanaume anaweza akavutiwa na shape ya mwanamke pale anapomwona akiwa amevaa kivazi cha kubana au kisketi kifupi anaweza kuendelea kudate nae hadi wakaoana but akishakamilisha ownership atakuwa hapendi kumwona mkewe akivaa vile vinguo vya kubana ------ au kuacha wazi mapaja na maziwa..simply ni kuwa muonekano ule wa kimaumbile kwa wanaume wengi unaleta tafsiri ya urahisi wa kutekwa kimapenzi na ni ishara ya kutokuwa mwoga kujamiiana kitu ambacho wanaume wengi hawapendi..namalizia kwa kusema ubora wa mwanamke wa kuoa unatokana na utashi wa kimalezi na hofu yake juu ya mungu na wala sio kabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…