Ukitaka mke wa kuoa, basi oa Mkurya

Ukitaka mke wa kuoa, basi oa Mkurya

Hata kwa wanaume,ukimuoa mkurya usipompiga na kumtoa damu kila baada ya miezi mitatu,atadai talaka yake

ahahahaa!!kuna mmoja nilimbahatisha kudadadeki hamu hana!kila siku kunipigia mwanangu inahusu!.
 
Usiongee ushabiki,ila ongea uhalisia ni kweli wavumilivu kwa waume zao,ckweli kuwa wote wamekeketwa ingawa by no mila yao,na asilimia kubwa ni waaminifu kwenyendoa na mengine mengi......
 
Umeongea ndugu...sio wote wamekeketwa na ni wavumilivu balaaa
 
Asante sana, ni vyema kupeana uzoefu

Mimi ilinitokea nikapelekwa na kampuni yangu kufanya kazi kwa muda Musoma mjini kati ya mwaka 2010 na 2012.

Kuna dada mmoja wa Kikurya ana kahotel kazuri sana na ndipo tulipokuwa tunakula chakula chetu. Kwa sbb hiyo ilitokea tukazoeana sana. Kwa kweli alinivutia na ni mzuri na anavutia kweli kweli (kwa mtazamo wangu) kwani ni mweupe wa wastani ya maji ya kunde, umbo la kuvutia na matako ya wastani na badae ktk kumdadisi aliniambia kuwa alikuwa ameolewa na kuachana na mumewe. Ki ukweli I loved her na km mwanaume rijali nilimtokea na dada huyu hakuwa na hiyana alikubali pasipo usumbufu maana baadae alikuja kuniambia kuwa kumbe hata yeye alitokea kuvutiwa na mimi muda mrefu tu na alikuwa anasubiria neno tu toka kwangu.

Tulianza mahusiano. She was very sweet na anajua michezo ya kitandani balaa. Nakuambia hata km mwanaume ulishazoea kupiga bao moja au mbili, kwa huyu ni lazima uta dabo na ni kwa sbb huyu demu anajua kuinyonya koni balaa na kwa sbb hiyo alinifundisha hata mimi kuzamisha mdomo na ulimi wangu ktk pachipachi lake!!. Muda wangu wa kuwepo Musoma kikazi uliisha na nikarudi zangu Moshi lakini nikiwa na kumbukumbu maridadi ya mapenzi ya huyu dada wa kikurya.

Daah, usiombe nikumbuke nyakati hizo maana ni km sijakutana tena na mwanamke wa dazaini yake!!..Nimejaribu kuwasiliana naye recently, akaniambia ameshapata mume wa kumuoa tena na nikalazimika kunywea tu......Otherwise, wallah ningefunga safari special kwa ajili yake kwenda Musoma kwa mkurya huyu!!

Hoja hapa kubwa ni kwamba;

Mosi, hii dhana ya kwamba wanawake wa Mara hawajui mapenzi si ya kweli!!

Pili, hoja kwamba wanawake wa Mara na specific wakurya kuwa wanajua kupenda, wavumilivu ktk ndoa (hata umfanyeje na kumnyanyasa kwa vyovyote mwanaume apendavyo) na wanapenda vipigo si ya kweli!!...Mfano ni Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee a.k.a Binti Machozi (mkurya) juzijuzi tu kavunja ndoa yake!!

Tatu, dhana kwamba wanawake wa Mara na specific wakurya wote wamekeketwa na kwa hiyo kunawapelekea kutopenda ngono/kutokuwa na hamu ya kawaida ya ngono si ya kweli.

Mwisho kwa mtazamo wangu na jinsi dunia ya leo ilivyo, tabia ni ya mtu na kanwe haina uhusiano wa wowote na eneo au kabila la huyo mtu atokalo.
 
Mm kaka yangu kaoa mkurya kwa kweli ni watu wazuri wanajua nn maana ya ndoa pia ni wasiri sana na ni wanyenyekevu ila tu usimdharau hasa mwanamke mwenzie
 
Back
Top Bottom