oaneni wenyewe mnawezana wenyewe
...Hata Mimi Mkurya Ananifaa Sana Sipendi Wanawake Wajuaji.
Wewe siyo Mkurya
oaneni wenyewe mnawezana wenyewe
Mimi natakanije nikuchumbie nikupeleke Musoma tena sote tunatoka familia zakifugaji nitamtuma mzazi wangu ebu kwanza nipe ramani akija aanzie kwa Mzee nani?
wana heshima na upendo wa dhati kwa waume zao na pia ni waaminifu sana kwenye ndoa
Huo mstari Wa mwisho hebu rudia tena!!! Eti nini?
ni waaminifu sana kwenye ndoa zao kuliko kabila lolote Tanzania
...Hata Mimi Mkurya Ananifaa Sana Sipendi Wanawake Wajuaji.
...Hata Mimi Mkurya Ananifaa Sana Sipendi Wanawake Wajuaji.