Ukitaka kumchunguza mwanaume

Nenda Kwa mchungaji mwambie unatafuta mume.Mchungaji atamsubiria kijana yeyote mwenye Nia ya kuoa.Mtaingia kwenye maombi ikiwemo mchungaji kama ni mpango wa Mungu utaolewa naye mtaishi Kwa raha.
Mshirikishe Mungu Sana.

Hiyo Logic yako nafikirii sio kwa wachungaji wote wataelewa

Kwa umri wangu watanishangaa niseme natafuta mume

Pia sitaki Kijana yoyote nataka yule mwenye vigezo vyangu sio wa kutafutiwa nataka wa kunitafuta mimi sio mimi nimtafute yeye
 
Hiyo Logic yako nafikirii sio kwa wachungaji wote wataelewa

Kwa umri wangu watanishangaa niseme natafuta mume

Pia sitaki Kijana yoyote nataka yule mwenye vigezo vyangu sio wa kutafutiwa nataka wa kunitafuta mimi sio mimi nimtafute yeye
Ndoa Haina umri Mamy...

Wakati wa Mungu ndo sahihi
 
Waende na mchumba wake kwa mchungaji ambaye ana macho ya Rohoni, ombe alafu ataoneshwa kuwa ni wake au sio wake ajue moja...

ndugu huko kanisani nilishaharibu kwa jambo hili tu watanambia dhambi tupo dhehebu tofauti tena langu ndio lile tunaoana wenyewe kwa wenyewe
 
Hapana mkuu kuna baadhi ya vitu ni hatari sana its better ukavifahau mapema!!
 

Nimekuelewa
 

Kwaiyo wazazi wakiuliza ninamfahamu nijubu tu ndio
 

Ukweli ana kizi vigezo na ni the best kati ya wale niliokuwa nao…

Kwenye kuchunguza ukoo hapo ndio mama angu ana maswali sijajua ni uoga wake kwamba natolewa home au ni anajaribu kunilinda
 
Mfano kama ushirikina

Sasa hapo nawaza nitachunguzA nitaanzaje kujua hilo
Achaa tu! Kuna familia nyingine ni Hatari sana! Hili ni gumu sana kujua pale mwanzo kama mtu hajakwbia mwenyewe!

Mwingine anahofia kukupoteza hakwambii anamute tu mabalaa unakutana nayo badae sana!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!

Kaa mbali na familia yenye washirikina asee ni hatari sana!
 
Why mama?

Je nikiuluzwa kuhusu kumfahamu na familia yake si unajua lazima wazazi wawe sure mara nyingi lazima atauliza ukoo wake naufahamu ni watu wa namna gani na Mimi sina ABCD
1. yeye ana abcd zako?
2. huyu ndiyo yule asiyetakiwa na kaka yako?
 
Umemaliza kila kitu Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…