Hao paka wa Mamzalendo hao
Tuache kujidharau. Toka lini racist commentary zikawa funny, watu wengine exposure mlizopata hata hazijasaidia kuwafungua macho.... this is some funny shiiiii, or may be am just too thick-skinned to racial slurs! Hilarious!
Tuache kujidharau. Toka lini racist commentary zikawa funny, watu wengine exposure mlizopata hata hazijasaidia kuwafungua macho.
Huyo aliyepiga picha anaonekana amehamisha mawazo/hisia za paka
i wish ningeona uvaaji wako!!!Tuache kujidharau. Toka lini racist commentary zikawa funny, watu wengine exposure mlizopata hata hazijasaidia kuwafungua macho.
Sikonge, mi ni mgeni hapainasemekana ni mbuzi mzee au bujibuji maana ndiyo watu wa mapichapicha kwa wingi sana hapa jf.
Ngoja waje watalaamu hapa wajadili zaidi kama kuna mtu ilimtokea hii....