Moyibi
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,054
- 710
Shemeji yako ndo alikuwemo, Me sikuomba UD
kaka uko na mbwembwe:-D
Shemeji yako ndo alikuwemo, Me sikuomba UD
kama ndo ivo basi tutakutana hukoooooo kwa wasuaso...mimi nlijaza irrigation and water resources engineering..dahhhkama kawaida BVM inaniita pande zile za SUA xo vijana wangu wa sua kama mpo hapa 2anze kupeana ma contacts
hahhahahahahaha yan nimeweka zote nlizokua nime apply na ambazo sikuapply..zote zimekataa....Ukilogin haisemi kuwa umekuwa selected bali umekuwa admitted,maana yake hiyo course imefanyiwa kazi kujua kuwa um,epata au umekosa bado.Yani kwenye second round jaza course ambazo haukuzijaza mwanzo,kama uliomba mwanzo na competion ikakushinda na unasifa automatically bila kuomba unakuwa mwanafunzi wa akiba.Kwa hiyo subirini watangaze kwanza acheni presha.
HILI NI CHENGA LA MACHO
Hii ni programe imekuwa desirned ukiwa unaapply for second time
TCU HAWAJATOA SELECTION
NYIE MADOGO TULIENI
HILI NI CHENGA LA MACHO
Hii ni programe imekuwa desirned ukiwa unaapply for second time
TCU HAWAJATOA SELECTION
NYIE MADOGO TULIENI
hahhahahahahaha yan nimeweka zote nlizokua nime apply na ambazo sikuapply..zote zimekataa....
Kumbe una website mkuu.
kwan unajua hiyo option imeanza kufanya kazi lin na wewe unaongea nini???HILI NI CHENGA LA MACHO
Hii ni programe imekuwa desirned ukiwa unaapply for second time
TCU HAWAJATOA SELECTION
NYIE MADOGO TULIENI
hapo umedandia treni kwa mbele..pole sana....na karib tenaHILI NI CHENGA LA MACHO
Hii ni programe imekuwa desirned ukiwa unaapply for second time
TCU HAWAJATOA SELECTION
NYIE MADOGO TULIENI
HILI NI CHENGA LA MACHO
Hii ni programe imekuwa desirned ukiwa unaapply for second time
TCU HAWAJATOA SELECTION
NYIE MADOGO TULIENI
Mkuu na wewe hebu jiulize huu ujumbe kuwa ulishaomba na umekuwa admitted na hauruhusiwi kuomba tena uliwalenga watu gani?HILI NI CHENGA LA MACHO
Hii ni programe imekuwa desirned ukiwa unaapply for second time
TCU HAWAJATOA SELECTION
NYIE MADOGO TULIENI