ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

kama kawaida BVM inaniita pande zile za SUA xo vijana wangu wa sua kama mpo hapa 2anze kupeana ma contacts
 
wenzako wameshaanza kufanya selection sasa sijui wewe utaanzaje coz kitufe cha second round application kwako hakipo..nakushauri uwapigie simu mkuu mapema kabla haijala kwako...

Itakulaje kwangu mkuu wakati, sihitaji kufanya selection ya pili? au mkuu kwa kuwa wewe umepata hicho kitufe cha 2nd round application hutaki kuamini kuwa hujachaguliwa.

na ukitaka uthibitisho soma hii sentensi kutoka TCU NOTE: i) Applicants who applied but for some reasons they were not selected, are not required to pay another application fee instead they will only be required to choose another program by logging into their accounts.

Inamaanisha kuwa wewe kama umepata option ya 2nd round hebu jaribu kujaza kozi ambayo hukujaza mwanzo uone majibu yake, kisha tuambie
 
Itakulaje kwangu mkuu wakati, sihitaji kufanya selection ya pili? au mkuu kwa kuwa wewe umepata hicho kitufe cha 2nd round application hutaki kuamini kuwa hujachaguliwa.

Mkuu mimi nafikiri hicho kitufe cha 2nd round application kitakuwa kwa wote ila kama umeshachaguliwa system itakugomea kufanya application nyingine ila kwa wale ambao hawajachaguliwa system itawaruhusu.

Kama kwako hicho kitufe hakipo labda ni tatizo la kiufundi tu na huenda wanarekebisha.

Ni mtazamo na mawazo yangu tu.
 
aisee halelujaahhhh.....WARNING!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE,YOU HAVE APPLIED AND YOU HAVE ADMITTED ALREADY,NOT ALLOWED TO APPLY TWICE,THANKS!!.
 
At last aisee mana presha ilikuwa inapanda then inashuka,watu wengine wameumwa kabisa!

wenye pressure na walioumwa ni wale wenye division 3 za point 14 na 15. wenye moja za 3 wanakula bata wala hawajui kinachoendelea
 
wakuu hebu nijuzeni kwa huyu dogo ambae kuna kasolo kwenye form za mikopo yaani kuna sehemu hakusain je kuna malekebisho anawezafanya? na ni lini mwisho wa kulekebisha na afanyaje kulekebisho kasolo hy tafadhari nawaombeni nimejaribu kupekuwa kupitia my mob.phone nimeshndwa ktatua tatz hl.
 
embu fanya hivi..hapo kwenye la we ra alafu urudi tena tutakusaidia
 
wakuu hebu nijuzeni kwa huyu dogo ambae kuna kasolo kwenye form za mikopo yaani kuna sehemu hakusain je kuna malekebisho anawezafanya? na ni lini mwisho wa kulekebisha na afanyaje kulekebisho kasolo hy tafadhari nawaombeni nimejaribu kupekuwa kupitia my mob.phone nimeshndwa ktatua tatz hl.

Hakuna solution kwa hilo mkuu.
 
Ukilogin haisemi kuwa umekuwa selected bali umekuwa admitted,maana yake hiyo course imefanyiwa kazi kujua kuwa um,epata au umekosa bado.Yani kwenye second round jaza course ambazo haukuzijaza mwanzo,kama uliomba mwanzo na competion ikakushinda na unasifa automatically bila kuomba unakuwa mwanafunzi wa akiba.Kwa hiyo subirini watangaze kwanza acheni presha.
 
Back
Top Bottom