ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

mbna mie imeandkwa WARNING!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE,YOU HAVE APPLIED AND YOU HAVE ADMITTED ALREADY,NOT ALLOWED TO APPLY TWICE,THANKSWARNING!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE,YOU HAVE APPLIED AND YOU HAVE ADMITTED ALREADY,NOT ALLOWED TO APPLY TWICE,THANKS ina maan gan?
 
kama kawaida BVM inaniita pande zile za SUA xo vijana wangu wa sua kama mpo hapa 2anze kupeana ma contacts
kama ndo ivo basi tutakutana hukoooooo kwa wasuaso...mimi nlijaza irrigation and water resources engineering..dahhh
 
HILI NI CHENGA LA MACHO

Hii ni programe imekuwa desirned ukiwa unaapply for second time

TCU HAWAJATOA SELECTION

NYIE MADOGO TULIENI
 
Ukilogin haisemi kuwa umekuwa selected bali umekuwa admitted,maana yake hiyo course imefanyiwa kazi kujua kuwa um,epata au umekosa bado.Yani kwenye second round jaza course ambazo haukuzijaza mwanzo,kama uliomba mwanzo na competion ikakushinda na unasifa automatically bila kuomba unakuwa mwanafunzi wa akiba.Kwa hiyo subirini watangaze kwanza acheni presha.
hahhahahahahaha yan nimeweka zote nlizokua nime apply na ambazo sikuapply..zote zimekataa....
 
HILI NI CHENGA LA MACHO

Hii ni programe imekuwa desirned ukiwa unaapply for second time

TCU HAWAJATOA SELECTION

NYIE MADOGO TULIENI
kwan unajua hiyo option imeanza kufanya kazi lin na wewe unaongea nini???
 
Ha ha ha hah ndugu yangu mpigamsuli amepigwa ban sasa hizi info sijui itazipataje, then namba yake haipatikani.
 
Last edited by a moderator:
HILI NI CHENGA LA MACHO

Hii ni programe imekuwa desirned ukiwa unaapply for second time

TCU HAWAJATOA SELECTION

NYIE MADOGO TULIENI
Mkuu na wewe hebu jiulize huu ujumbe kuwa ulishaomba na umekuwa admitted na hauruhusiwi kuomba tena uliwalenga watu gani?
 
Back
Top Bottom