jaridotcom2
Member
- Jul 26, 2012
- 62
- 11
Jamani naomba kunukuu hii post "Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye application 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.Ukiaad hiyo code alafu uje kwenye save changes uclick hapo.Baada ya kuclick save changes itakuja message amabayo itasema kama umeshachaguliwa na hauruhusiwi tena kuomba.Mimi nimefanya hivyo na kuletewa ujumbe huo.
Angalizo:Application 2nd round inayoonekana baada ya kulog in achana nayo na badala yake nenda moja kwa moja kwenye profile kama nilivyokueleza hapo mwanzoni"....Je ni kweli hili linaukweli? maana mm kinachonishangaza kila mtu anaonekana kapata chuo kwa mjibu Wa maelezo hayo.