ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

mie nimeapply tena inanambia hyo course iko fully, but nilipobadil code ikakubali, ina maana gani?
 
Imenijib THANK YOU FOR YOUR UPDATION, YOU MAY LOG OUT.
Halafu chin yake,
PLEASE CLICK HERE TO CONFIRM!
Sijaelewa, nisaidieni people, nimetumia sim
 
Ukitaka kuamini kuwa selection tayari zimetoka ila wameamua kutotangaza kwanza fungua website Muslim University Morogoro kwani wao tayari wamesha display kwenye web yao,
ila hii thread nimeipenda sana maana inaondoa presha si tu kwa mhusika mwenyewe hata kwetu sisi tulio na wadogo zetu ambao wali apply, Thanks
 
mie nimeapply tena inanambia hyo course iko fully, but nilipobadil code ikakubali, ina maana gani?

Mkuu umejaribu saa ngapi?Basi inawezekana ndio ukawa umepata hiyo kozi maana kwenye maelezo yao wanasema atakaembo tena mapema ndio atakakaechukuliwa.

Ila mimi kwangu nimejaribu tena muda huu ikaniambia nilishaomba na nimekuwa admitted hivyo siruhusiwi kuomba tena.
 
Mpaka sasa website ya TCU inaleta mashauzi!! nadhani mnajua namaanisha nini
 
SaSa Hivi UJUMBE UNASOMEKA HIVI

DEAR APPLICANT!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER EACH STUDENT,YOU HAVE ADMITTED ALREADY, BE PATIENT AND SOON YOU WILL KNOW WHERE YOU HAVE SELECTED,THANK YOU!!.
 
Back
Top Bottom