Ukitaka kujua penzi lako limechacha


majibu yanaweza yakawa
"haya bwana, niambie unataka sh ngap?"
au
"mama koku najua umeshaligonga gari, sio bure"
 
sina hata mchepuko/wa kuzugia wa kumwambia
 
for the tragedy i had aisee sihitaji stress at the moment.. am good thia way
hebu andika vizur kwa kiswahili maana elimu yangu ya magumashi ya STD 7 ili nikuelewe vizuri
 
Sitaki kuharibu siku yangu kabisaaa maana nitakachojibiwa mhhhh?????
 
Hahaaa!unaweza andika ukashangaa unambiwa,nakuja unieleze hii meseji ulikua unamtumia nani,kesi tayari akhaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…