Ukitaka kujenga nyumba usimchukue fundi...


bangi ya mchana mbaya!
 
Halafu jamaa kapiga post yake moja, muda wa internet cafe ukaisha hajarudi tena!
 
Braza Saleh usiwasikilize hawa wakuda. Wamekosa cha kufanya na kuanza kukushambulia bila kujaribu kuelewa ujumbe unaowaletea. Ujumbe wako upo sawia kwa mwenye uwepesi wa kuelewa ameshaona unazungumzia nini.

Binafsi nimekuelewa, wala usikatishwe tamaa kutuma posts zaidi JF.
 
Duh.....ni kiswahili cha wanasiasa mafumbo utadhani enzi za akina Buricheka....sasa unataka kutuambia tukuchague wewe ndio uwe mjenzi??? hata uclass monitor hujawahi
 
Mmh mimi nimemuelewa ila wachangiaji, aah they make my day for
 
Halafu mnaishia kulalamika eti kwa nini watoto wa kiislam wanafeli.

Hebu angalieni huyu ni mwenzetu, anajua ku-log in, anajua ku-type lakini hajui profession ya kompyuta.

Tanzania bila ... inawezekana!

Kaazi kwelikweli Tanzania yetu hii. Comments za udini zinatia kichefu chefu. Pptuuu....

Inasikitisha.

''profession ya computer''... Hii inauhusiano gani na pumba alizotema jamaa. Mtu akiandika mambo yasiyoeleweka anakua hana 'profession ya computer'??


By the way kwenye ujumbe wako --the best way to get out of dificulty.....'. Hilo neno dificulty weka double f.
 
Haya ndo matunda ya shule za kata aka vidatu na bado...........ipe bongo miaka kumi ijayo na hizo shule bila walimu itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…