ukitaka kuingia lazima ukaguliwe....

ukitaka kuingia lazima ukaguliwe....

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
182556_333085273486365_370978604_n.jpg
 
Dah wakikuta kumetuna kidogo(busha) itakuwaje sasa si utahamishiwa fitting room wahakikishe?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii kazi siwezi na me nikapata nikawa napiga part time?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hahahahaha mwekundu bwana wee Kweli mwekundu umefanya nimecheka bure!!
 
Last edited by a moderator:
Mmoja kageukia pembeni kama anasikilizia utamu wa mkono wa afande
 
Kunusana makwapa na shombo. Kazi zingine ngumu ila wakati unasomea hawakuambii!
 
angekweko mwanaume na mwanamke, yaani ki jinsia zaidi
 
Si wangeweka chumba cha ukaguzi, naunga mkono waliouita huu kuwa ni udhalilishaji hata kama ni mwanamke mwenzie anae mkagua, bado ni udhalilishaji.

Labda kulitangazwa hali ya hatari.
 
kwani mwanaume ndo anawakagua au..

Hapana Mkuu ni kwasababu ukaguzi unafanyika hadharani.
Je angekua mzazi wako au maiwaifu wako ungependelea kuona hayo akifanyiwa mbele ya kadamnasi?
 
Back
Top Bottom