Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
hahaa hii ni kweli kabisa maana magojwa yamekuwa mengi hivi sasausifanye ngono zembe
pole sana hiyo mbona imewakuta watu wengi tuu swala la kumkopesha mtu pesa wee lisikie tuuvery true 6,7 na 8 zimeniathiri sana hasa mawaka jana, pia kuna binamu yangu nilimkopesha laki 3 na nusu tangu mwaka 2014 mpaka leo naona hana mpango wa kurudisha, inagawa kiukweli hali yake kiuchumi si nzuri ni mwanachuo diploma hana stable financial supporters ila inaniuma sana hela yangu hasa kwa usawa huu sasa hivi wa uncle magu kila nikifulia naikumbuka.
Kwa hio ukiacha vtu hivi unafanikiwa Kimaisha?kama wewe ni kijana na ungependa kuona mwaka huu ukipata mafanikio katika maisha basi achana na hizi tabia .
1.tabia ya kufatilia maisha ya watu na familia zao.
2.tabia ya kujilinganisha uwezo wako kimaisha na wengine .
3.tabia ya kutaka kuonekana kwa watu unajua kila kitu.
4.kumpenda mtu asiyekupenda
5.usipende kuwa na urafiki na watu walioshidwa maisha.
6.usipende kuwa na tabia za kukopesha watu pesa
7.usipende kuwa na moyo wa kusaidia watu ili uonekane mtu mwema mtu akikuomba kama huna mwambie sina.
8.achana na tabia ya kufanya mambo kwa ndugu au marafiki upate sifa uonekana uwe una pesa.
9.achana na tabia ya kuhonga ovyo
10.tabia za ubishi usiokuwa na maana achana naoo.
haya jamani kama una mengine hebu ongezea iwe kama somo
11.Achana na michepuko!Kwa hio ukiacha vtu hivi unafanikiwa Kimaisha?
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
uko sawa kabisa mkuu ndo maana nikaongezea tujiongeze kidogoThe giving hand is the receiving hand......hii inakwenda against na no.7 yako.
No.9 its OK.
Ila umenishangaza kwa hili mkuu, umeandika yote ila hujatuambia kua tufanye kazi kwa bidii na tuwe wabunifu ktk kazi zetu. Mimi sijawahi Ona mtu kafanikiwa bila kufanya kazi.
Hayo mengine yote uliyoandika ukiacha na kazi hufanyi bado hutofanikiwa tu
5.usipende kuwa na urafiki na watu walioshidwa maisha
6.usipende kuwa na tabia za kukopesha watu pesa
7.usipende kuwa na moyo wa kusaidia watu ili uonekane mtu mwema mtu akikuomba kama huna mwambie sina.