Ukisoma Instructional Design and Information Technology unakuwa nani?

200K

Member
Joined
Apr 2, 2020
Posts
44
Reaction score
34
Ndugu wana Jamii Forums naomba mnasaidie kujua

Course ya INSTRUCTIONAL DESIGN AND INFORMATION TECHNOLOGY ina deal na nini na pia baada ya kuisoma unaifanyia kazi field gani
msaada plz🙏🙏
 
msaada plz
Unaweza ukawa software engineer,software developer,BSS engineer(kwenye makampuni ya simu),system administrator,Instrumentation engineer(hii ipo viwandani),unaweza ukafsnya hata kazi za umeme,engine,mfano kwenye minara,BSS towers za mitandao ya simu,vipo vingi.
Kuna jamaa zangu wamesome Sheria,sasa hv wanafanya kazi za kupiga picha,kutengeneza video za shelee,Harusi,ku produce muziki.
Kuna engineer mmoja wa mechanical sasa hv anatengrneza fanicha
 
Shukrani
 
Karibu sana mkuu utanikuta block two hapo nakusubiri... welcome to informatics
 
Back
Top Bottom