Ukisikia mijitu ndio hii

Wapoti

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
2,824
Reaction score
1,100
hivi akimchumbia mwanamke swali la kwanza atakalojiuliza mwanamke ni lipi?
 

Attachments

  • 1409896751391.jpg
    59.4 KB · Views: 588
  • 1409896773248.jpg
    34.1 KB · Views: 546
  • 1409896793832.jpg
    43.9 KB · Views: 524
  • 1409896823566.jpg
    54 KB · Views: 501
haya sindio mamiili ya kujichoma sindano????
 
Niheri ukatunisha mishipa ya ubongo, utakua na faida kubwa kwa dunia kuliko kutunisha mishipa ya mikono.
 
mmmh kwa hii hapana hata mvuto hamna..........
 
Mangangari poa hayo yanabinuliwa kama nini
 
Huwa nasikia hawa watunisha misuli hawana maisha marefu!
 
Sasa natambua kuna tofauti kati ya kuvimba na kujazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…