Ukisikia hasara ndio hii

Ukisikia hasara ndio hii

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
Na weekend ndio hiyooo, inatia hasira kwa kweli.

osjecko-beer-fail_01.jpg
 
Mama mama!!! lingepinduka mbagala! weeeeeeh, watu wangeuana.
 
Ama kweli akili ni mali yaani mkojo wa tembo ndo hasara si roho ndo hasara jamani
 
Daaaaaaahhhhh.......
Lingedondokea jiran na nilipo leo ingekuwa shereheeeeee!!!!
 
​Pombe zote hizo zinapotea hivi hivi, nyi mnashangaa hasara iko wapi! Walokole bana.
 
loooooh! wamenipa hasira hawa.weeeeitaa leta c milk sita hapa
 
Back
Top Bottom